Mbona sijawahi kusikia CHADEMA au CUF wakimshutumu Lowasa hadharani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona sijawahi kusikia CHADEMA au CUF wakimshutumu Lowasa hadharani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anold, Jun 15, 2011.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,378
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Toka sakata la ufisadi lianze nimekuwa nikifuatilia matamshi mbalimbali ya viongozi juu ya watuhumiwa wa ufisadi. Kitu ambacho nimegundua ni kwamba vyama vya upinzani vimekuwa vikitaja watuhumiwa wa ufisadi kwa ujumla wake bila kutaja majina.

  Sina uhakika na orodha ambayo Mzee Slaa ameshawahi kuitoa ya mafisadi kuwa aliwahi kumtaja mtu kama Lowasa au kama aliwahi lakini kwa muda mrefu sijawahi kuwasikia wapinzani wakiwatamka watuhumiwa hawa kwa majina. Nahisi kuna kitu, inawezekana wana jf msinielewe lakini nataka niwahakikishie kuwa wanaoongoza kwa kuwashikia bango mafisadi ni wana ccm wenyewe na waandishi wa habari.

  Sijajua ni kwanini awali nilikuwa naamini kuwa jicho la wapinzani ndiyo lenye uwezo wa kuona vizuri, lakini sijawahi kumsikia mtu kama Zitto, au Mbowe, au Mzee Libumba akimtaja Lowasa kwa jina kuwa ni fisadi, hivi inawezekana sababu ni nini? au ni kwa kuwa CCM wanajuana vizuri kuliko watu walio nje? mmh! inawezekana!! au wapinzani wanatega ili ccm wakisema chanini i wakidake? au wanaheshimiana sana?

  inawezekana wana jf mnafahamu hebu mwageni utafiti wenu. (ruksa kukosoa utafiti wangu)
   
 2. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  una ushahidi gani kama lowasa ni fisadi?au kwa kusoma magazeti ndo unaamini hivyo,bila data usimlau mtu na viongozi wa hivyo vyama hawakurupuki bila data so why,kama unazo peleka wazifanyie kazi kama za kweli utasikia moto wake
   
 3. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo unataka orodha ya vyama vya upinzania iongozwe na utashi wako. Hukusikia orodha ya Mwembe Yanga na Jk alikuwemo? Maan yake ni kuwa the whole govt is rotten.
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Wapinzani ndo wanajua ukweli, hawataki siasa za madaraka na hawako for kumsingizia mtu.
   
 5. A

  Anold JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,378
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Hujanielewa nakushauri usome vizuri hii hoja, sijasema Lowasa ni Fisadi nimesema "wanasema"kumbe kuna watu bongolala humu!!!
   
 6. A

  Anold JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,378
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Jibu upupu, hujaelewa hoja hata kunyamaza ni njia nzuri ya kuwasilisha jubu.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mKUU NI KWELI KWA UFISADI WA LOWASA NI KUMUARIBIA KISIASA TUU!
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ni kweli nani kasema lowasa fisadi? Mbona chedema tunamtaka sana ila tutamdhibiti sawasawa!
  Magamba ndo mafisadi lowasa anatolewa sadaka!
   
 9. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Acha upupu nenda kwenye web ya CDM utakuta mafisadi wameanikwa.
  Au mpaka watangazie TBC au JamboLeo?
   
 10. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Synonyms za Fisadi
  Gamba
  Lowasa
  Kila ukisikia fisadi ujue lowasa katajwa na genge lake kina RA, JK, RZ1, AC endelea.......
   
Loading...