Mbona safari hii hatusikii safari ya kwenda Ngurdoto?

Sarya

Senior Member
Nov 6, 2009
151
41
Safari iliyopita mawaziri wa JK walikwenda Ngurdoto kupigwa msasa lakini safari hii hatusikii lolote, kulikoni wana JF mnijuze!
 
Muda bado mjomba, hazina bado hakuna kitu wanazichanga kwanza then wataenda kwenye semina elekezi
 
Uchaguzi umekomba hela zote. tunakusanya kwanza. Subiri tutoke Christmas na Mwaka Mpya.
 
Mtu mwenyewe anawafundisha hao mawaziri nani? Au labda Bilal asiye na kazi ya kufanya kama mwenzie Seif-Zanzibar
 
Lazima wataenda...koz asilimia kubwa ya walio barazani ni watu wa kula BATA na mamivinyo ya BEI MBAYA
 
Safari iliyopita mawaziri wa JK walikwenda Ngurdoto kupigwa msasa lakini safari hii hatusikii lolote, kulikoni wana JF mnijuze!

jana alipokutana na mawaziri wapya aligusia hilo swala la semina elekezi, ipo kaka ila sijui ka itakua ngurdoto au itakuwa wapi ila ipo utaisikia tu
 
Muda bado mjomba, hazina bado hakuna kitu wanazichanga kwanza then wataenda kwenye semina elekezi

Mkuu uko sawa kuna kachek kangu kidogo kitatupwa kila ukikumbushia hazina hamna hamna kitu ila nahukuru kanaongezeka accordingly
 
Lazima wataenda...koz asilimia kubwa ya walio barazani ni watu wa kula BATA na mamivinyo ya BEI MBAYA

mwingine ndo juzi juzi kasema alipigwa kavu kavu mpaka akapachikwa mimba na kuzaa akiwa chuoni..sasa wa hivi unampeleka Ngurdoto si unataka kuwapa watu lawama tu au?
 
Back
Top Bottom