kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,422
- 7,207
JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar.
Amehutubia wazee wa Dar juzi, amepokea hati za mabalozi Dar, Jumatano anaapisha wakuu wa mikoa Dar. Mwendazake shughuli Dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi Dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema Dodoma ndio mji mkuu?.
Tunamuomba Rais Samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama Hayati Magufuli.
Wananchi walimpigia kura Magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.