Wewe ndio mwenye msimamo?Kishanunuliwa huyu labda ipo siku atatwambia Magufuli kamnunua kwa kiasi gani hajitambui kabisa. Haiwezekani mtu mwenye akili timamu ubadili msimamo wako kama kinyonga anavyobadili rangi zake, ameamua kuwa msaliti kwa kuungana na mafisadi ili kuwatetea.
Lowassa ni tumaini la mafisadi, wezi, wahuni, majangili na magaidi na wauza unga nchini. Haiwezekani kiongozi mzuri mwenye sifa za kuiongoza nchi aanze kampeni zake kwa kutoa rushwa ya mamilioni katika nyumba za ibada halafu akadaiwa eti ni "tumaini la Watanzania"
Naona kuna haja ya Mh Rais atoe muongozo wa hicho alichokisema na shughuli za kisiasa maalumu ambazo anaona zikifanywa zinaweka pingamizi kwa yeye kuwaletea maendeleo wananchi waliomchagua yeye kwa kuwa na ilani bora. Maana sasa kila mtu anakuja na tafasiri yake.Rais amesema watanzania tufanye kazi na tuache kupoteza muda kwenye siasa ambazo kwa upande mwingine zinakwamisha shughuli za maendeleo.
Pamoja na kwamba wito wa Rais Dr. Magufuli umepokewa kwa hisia tofauti, kuna jambo ni lazima liwekwe wazi mapema ili usawa katika mfumo wa vyama vingi uonekane.
Tusione viashiria vyovyote vitakavyotoa tafsiri kwamba serikali inafanya kazi ya kuwahudumia wananchi na siyo kukijenga chama. Taifa Kwanza, vyama baadaye.
Ninawasilisha!
Uwa zinanunuliwa au mnagawiwa?Wewe unampangia mtu nguo ya kuvaa aliyoinunua kwa pesa yake!!!.
Wewe unajua kipi?Uwa zinanunuliwa au mnagawiwa?
Mbongo utamjua tu! swali linajibiwa kwa swali!!Wewe unajua kipi?
Wafanye nin sasa akati siasa ndo ajira zao inamaana hawa jamaa watataftiwa kazi nyengne.??Yaani Raisi "awaombe" wanasiasa wasifanye siasa?, kweli siku hizi common sense is not common at all!
Inaelekea wewe ni muelewa kidigo ssna wa siasaMawaziri na Serikali kwa ujumla wasitumie na wala kutaja CCM
Rais asitaje na wala kunadi chama chake kwenye hutuba au mazungumzo yoyote
Bali yote wayafanyayo wawe wanatumia neno SERIKALI
zile huwa mnaongwa bana!!Wewe unampangia mtu nguo ya kuvaa aliyoinunua kwa pesa yake!!!.
Mnaongwa ndio kitu gani. Au ni lugha gani hebu nifahamishe maana yake. Maana hii comment inaendana na umri wako.zile huwa mnaongwa bana!!
MNAHONGWAMnaongwa ndio kitu gani. Au ni lugha gani hebu nifahamishe maana yake. Maana hii comment inaendana na umri wako.
Mnahongwa!!! Wewe umeshawahi kuhongwa?MNAHONGWA
Hahahaha, mkuu umeona nini hapa mpaka ukanyamaza kimya?Mmmmh..No comments ngoja vijana wahusika waje waongezeee...