Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,601
217,992
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya.

Jambo la kuacha kazi lilimuudhi mtukufu Sabaya ambaye alilichukulia kama kiburi na dharau kwa DC, Sabaya akaamua kumkamata Kaaya na kumtengenezea kesi ya madawa ya kulevya, hadi makubaliano ya kutoa ushahidi wa uongo dhidi ya Mbowe yalipokamilika ndio akafutiwa mashtaka yake.

Kwa wasiomjua Eliya Kaaya aliyekuwa mtumishi binafsi wa Sabaya tumewawekea hapa Ushahidi mwanana, sasa mnatakiwa muelewe mashahidi wa kumfunga Mbowe walikotokea.

View attachment 1988464View attachment 1988465View attachment 1988466
 
Mashabiki wa Mwamba mitandaoni: Hii kesi rahisi sana kwa Mwamba, tunashinda saa mbili asubuhi
Wakili wa Mwamba:

FCtEgiPWQAIDAvu
 
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya...
Maigizo ya ubambikaji yanayowatesa wengine.
 
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya...
Mungu aingilie kati, wanashika vitabu vitakatifu na kula viapo vya mahakama, wanasema uongo .. !
Inajulikana kuwa hii kesi ilitengezwa na Sabaya na Kingai wakiwa wateule wa Magufuli Hai, kwa mkakati wa kumdhibiti Mbowe na Kuifuta CHADEMA.
 
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya...
Upo vizuri kwa kutunga urongo .. mimi naona unafaa ata kwenda kule bongo movie utawasaidia kutengeneza filamu za bongo wood.
 
Bidada unapuyanga mno, hata Kama ni kutaka teuzi, punzika kidogo, kunywa maji na uoshe shomo umejisahau sana.

Acha Mbowe afungwe hata miaka elfu, kama ndio uhai wa CHAMA DOLA
haina shida.
sasa unahangaika na nini sasa kila siku nakuona humu povu jiingiii hamna hata hoja mahakamani mnahangaika tu kafanyeni kazi acheni kulalamika acheni mbowe apanmbane na hali yake
 
😂😂 anyways, maneno yamekuwa mengi kila mtu kakamata kijiwe. Nipewe mrejesho siku ya mwisho, mixer zmekuwa nyingi sana ... 😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom