Tomito Tomato
Senior Member
- Feb 11, 2017
- 167
- 444
Ukiangalia mapokezi ya Mwanamuziki Ali Kiba jana unapatwa na mashaka na maswali mengi kwani yanaonekana kuwa hata wale walioenda kumpokea pale JNIA ni kama vile walitafutwa, kupangwa na kulazimishwa kwenda na kama haitoshi hata mapokezi yenyewe hayakuwa na mvuto kivile.
Je jicho lako Wewe liliona vipi?
Je jicho lako Wewe liliona vipi?