Mbona Ng'ombe aliyekamuliwa na Yohana huko Majivuno Region alianza ghafla Kukasirika na kutaka Kufungua Kamba ili ampige?

Kuna muda nilimuona Mkamuaji akitaka Kudondoka pamoja na Ndoo yake ya Maziwa ila Ndamba ( Raba ) zake zilimuokoa huku akihema sana tu.
Kama mtu unalaa na kufikilia kuandika kitu kama hiki na ukatarajia kuiokomboa Tz basi mmekwisha wapinzani.

Sera yenu kuu ni uchochezi kupitia chuki,uzushi,uongo,n.k. hamtafika popotd kamwe!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom