Mbona naona hawa "wazazi" ni watoto? Au ni macho yangu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona naona hawa "wazazi" ni watoto? Au ni macho yangu....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dopas, Apr 15, 2011.

 1. D

  Dopas JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mama Salma Kikwete azindua moja ya jengo la wodi ya wazazi wiliyani Nanyumbu,
  tazama picha hapa... View attachment salma.docx
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  haha, karimjee style!!

  yaani watoto wamesombwa kuja kutimiza akidi??
   
 3. N

  Nguto JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,657
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  Walikosa watu wazima mkuu wakasomba watoto! Mambo ya CCM hayo!!!!!!!!!!!!!! WAtu wamechokaaaa!!!!!!!
   
Loading...