Mbona Mwakyembe atumbui majipu yatamdhuru?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,583
Mh Mwakyembe baba, naomba pitia hizi mahakama weka watu wa TAKUKURU wasikupe info kamili watu wanavyoteseka wanavyofungwa bila hatia kiss PDIDY kasema lazima huyu afungwe.

Tusikae maofisini viti vimetudhuru sana hivyo angalieni George Simba Chawene anavyohaha sio anatafuta sifa anahaha kurudisha imani kwa watanzania wadau mateso ya Misri

Embu na wewe simamia sekta yako mkuu tutumbulie majipu
 
Nimeshangaa sana jana jipu Simbachaweni limetumbua majipu, haya mambo ya maigizo huwezi kujua, hukawii kukuta Mwakyembe naye akatumbua majipu kwa kuita press conference halafu baada ya wananchi kusahau akayarudisha kimya kimya kama anavyofanya Simbachawene...

Na majipu ya Muhongo je?
 
Toa ujinga wako hapa
Siyo atoe ujinga, post yake ina mantiki kubwa sana. Mie namwongezea neno "Mwosha huoshwa"

Mwakyembe ni mwanasheria aliyebobea na anashikilia wizara ya wanasheria, mawakili na mahakimu, akienda ovyo au akipotea stepu atatumbuliwa yeye majipu yaliyo bado mabichi kabla hajawatumbua wenzie.
 
Back
Top Bottom