Mbona mi sijakuombaaaaaaa

prospa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
554
156
Baada ya story za hapa na pale na
kufahamiana kiaina...

Jamaa; Naomba basi namba yako ya simu..

Mdada; ya kazi gani?

Jamaa; nataka niipambe kwenye
phonebook yangu

Mdada; sina simu..

Jamaa; mbona mi sijakuomba simu? Mi nahitaji namba hiyo simu sina shida nayo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom