Mbona meno ya Diamond yanaoza, amepatwa na tatizo gani?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,610
2,000
Mimi hata sielewi na mimeno ya Domo inaoza kadiri siku zinavuozidi kwenda mbele. Why happened to this ****.... Guy? Au laana ya baba yake?
Screenshot_20190209-095357.png
 

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
5,793
2,000
Zinaitwa Gold slugs, Cris brown, Lil Wayne, Birdman, Plies, Dj khaleed, Drake wote wanazo, kwa fupi zote ni swaga kwani hata AY anazo.

images-5.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom