Kwani lazima kujiunga JF?Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
Kwani lazima Chadema wote wawe humu?
Mwenzake Nape huwa anatumia muda wake kujadiliana hoja na wanaJF, mbona JK hayupo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
na huyu mwita ndo mwenye uwelewa mkubwa zaidi kwenye kitengo cha uenezi na propaganda pale Lumumba.Mwenzake Nape huwa anatumia muda wake kujadiliana hoja na wanaJF, mbona JK hayupo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
oooh!!JK amejiwekea utaratibu wa kuongea na wananchi kila mwezi anapopata nafasi. Isitoshe JK hana kitu cha kupoteza kwasababu ameshatimiza malengo yake ya kuwa Rais wa nchi na kuleta amani na utulivu wa nchi yetu changa.
mimi nadhani vijana wake makini waliomo humu jf wanatosha sana kufanya kazi hiyo na hawajatetereka na ndo maana magamba huwa wanadhani jf ni ya cdm wakati na wao wamo humu vilevile, si kila jambo lazima afanye 'mkulu', we huoni jinsi ambavyo salva rweyemamu na premi kibanga wanavyomwakilisha vilivyo 'mkulu' wao jk katika kumwaga pumba na fyongo!? na wana cdm wa jf nao wanawakilisha vilivyo mikakati na sera makini za 'mkulu' wao!Lakini JF imekuwa mstari wa mbele kuleta mabadiliko ya kisiasa Tz. Nadhani ni muhimu kwa Mbowe kutumia muda wake, japo mara moja kwa mwezi, kutetea na kuelimisha juu ya Chadema. Kwasababu hata kwenye gazeti lake la Tz Daima sijawahi kuona makala aliyowahi kuiandika.
Acha kiherehere unajuaje kama yupo au hayupo? kwani lazima ID yake isomeke MBOWE? Mbona Wassira hayupo JF?Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
yumo humu JF lakini nadhani sio active sana kwasababu ukienda kwenye profile yake bado ni Junior Member..
Mwenzake Nape huwa anatumia muda wake kujadiliana hoja na wanaJF, mbona JK hayupo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
mkuu wa magamba tatizo la mbowe (na lema) ni shule. huwezi kumlinganisha na Zito au Slaa. Ndo maana hutamuona humu hata siku moja.Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?