Mbona Mbowe hayumo JF?

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
 
yumo humu JF lakini nadhani sio active sana kwasababu ukienda kwenye profile yake bado ni Junior Member..
 
Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
Kwani lazima kujiunga JF?
WANAAMINI VIJANA WAO WAPO, HOJA ZOTE ZITAJIBIWA
 
Kwani lazima Chadema wote wawe humu?

Lakini JF imekuwa mstari wa mbele kuleta mabadiliko ya kisiasa Tz. Nadhani ni muhimu kwa Mbowe kutumia muda wake, japo mara moja kwa mwezi, kutetea na kuelimisha juu ya Chadema. Kwasababu hata kwenye gazeti lake la Tz Daima sijawahi kuona makala aliyowahi kuiandika.
 
Mwenzake Nape huwa anatumia muda wake kujadiliana hoja na wanaJF, mbona JK hayupo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
 
Mwenzake Nape huwa anatumia muda wake kujadiliana hoja na wanaJF, mbona JK hayupo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?

JK amejiwekea utaratibu wa kuongea na wananchi kila mwezi anapopata nafasi. Isitoshe JK hana kitu cha kupoteza kwasababu ameshatimiza malengo yake ya kuwa Rais wa nchi na kuleta amani na utulivu wa nchi yetu changa.
 
Mwenzake Nape huwa anatumia muda wake kujadiliana hoja na wanaJF, mbona JK hayupo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
na huyu mwita ndo mwenye uwelewa mkubwa zaidi kwenye kitengo cha uenezi na propaganda pale Lumumba.
 
Mbona Vasco Dagama hayumo humu? Hoja za jf zinamhusu yeye zaidi hata ya Mbowe.
 
JK amejiwekea utaratibu wa kuongea na wananchi kila mwezi anapopata nafasi. Isitoshe JK hana kitu cha kupoteza kwasababu ameshatimiza malengo yake ya kuwa Rais wa nchi na kuleta amani na utulivu wa nchi yetu changa.
oooh!!
hayo ndo yalikuwa malengo yake??
I never knew kwamba Tanzania ilikuwa haina amani na utulivu kabla ya 2005.
 
Lakini JF imekuwa mstari wa mbele kuleta mabadiliko ya kisiasa Tz. Nadhani ni muhimu kwa Mbowe kutumia muda wake, japo mara moja kwa mwezi, kutetea na kuelimisha juu ya Chadema. Kwasababu hata kwenye gazeti lake la Tz Daima sijawahi kuona makala aliyowahi kuiandika.
mimi nadhani vijana wake makini waliomo humu jf wanatosha sana kufanya kazi hiyo na hawajatetereka na ndo maana magamba huwa wanadhani jf ni ya cdm wakati na wao wamo humu vilevile, si kila jambo lazima afanye 'mkulu', we huoni jinsi ambavyo salva rweyemamu na premi kibanga wanavyomwakilisha vilivyo 'mkulu' wao jk katika kumwaga pumba na fyongo!? na wana cdm wa jf nao wanawakilisha vilivyo mikakati na sera makini za 'mkulu' wao!
na hapo kwenye red ingependeza kama ungesema 'lakini JF imekuwa mstari wa mbele kuleta mabadiliko ya siasa uchwara za ccm'.
 
Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
Acha kiherehere unajuaje kama yupo au hayupo? kwani lazima ID yake isomeke MBOWE? Mbona Wassira hayupo JF?
 
Isitoshe JK hana kitu cha kupoteza kwasababu ameshatimiza malengo yake ya kuwa Rais wa nchi na kuleta amani na utulivu wa nchi yetu changa.

Kweli mbumbumbu aogopi kuumbuka amani ipo wapi mzee? Au hii ya midomoni mwa wala kuku kule pembeni mwa bahari? Afu mbowe ni mwnykit wa cdm ana mambo mengi ya kuyaandaa kwa serikali ya 2015 hawezi kuja pandisha stress. Sasa kama ww kichwamaji utamchangia nn mbowe?
 
si kila kiongozi wa chadema awe memba wa jf, wawakilishi wachache waliopo wanatosha kujibu na kutoa hoja
 
Bora wengine kutokuwepo maana pumba zingezidi, kwani rafiki yetu MAKAMBA yuko wapi?
 
Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?
mkuu wa magamba tatizo la mbowe (na lema) ni shule. huwezi kumlinganisha na Zito au Slaa. Ndo maana hutamuona humu hata siku moja.
Yule ni mhamasishaji mzuri. lakini uelewa na leadership ni chaka la nguvu.
Nikisema mhamasishaji ni ngumu kunielewa kama hujawahi kuhudhuria kampeni zake. jaribu siku moja usiogope kwani magamba yako hayataonekana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom