Mbona "mathayo torongei " katoga .

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Kashfa kubwa iliyotumika na chadema dhidi ya ccm katika uchaguzi mdogo arumeru ni kuhusiana na mgombea wa ccm ni kua alikua hana sifa ya kuwa mbunge kisa katoga sikio.

Mbona mgombea wa chalinze mathayo nae katoga. ?
 
Wamasai wapo wengi tu wametoboa masikio na hata Bungeni wapo na wala hamna mtu anayeshangaa !

Kwa sasa hivi kwa Tz yetu akitokea mtu wa makabila mengine ambaye si utamaduni kwao kutoboa, akatoboa masikio na huyo mtu akawa anatafuta nafasi ya uongozi (mfano Ubunge) watu watamshangaa.....

Ila kama huamini hicho ninachokwambia unaweza ukafanya kama CDM yaani na wewe pamoja na maCCM wenzako muibue kashfa kwa Mathayo yaani mumvalie Bango kwa nini ametoboa masikio, uone watu wangapi wata-buy huo upuuzi wa kumuibulia kashfa mmasai kwa kutoboa masikio !

acheni hiyo Mambo na nyie mmasema ni mila na taratibu .

nae alikua anafuta hisia ,mila au desturj fulani kwa jinsi anavyoamoni yeye ... huko ndiko kutoheahimu Hisia za mtu nakuona zako ni za muhimu na kusikilizwa .
 
Mkuu tunachobishana ni kitu gani ? Hayo ni mawazo yangu na vile vile na mimi nimewashauri CCM ibueni hiyo kashfa kama CDM, sasa inawashinda nini kufanya hivyo ?

Kumshangaa mmasai mwanamume aliyetoboa masikio kwa hapa Bongo haina tofauti na kumshangaa mwanamke aliyetoboa masikito.......Watakucheka Watu !

Back
Top Bottom