Mbona mashimo mengi barabarani? Kodi yangu na tozo nyingine zinafanya nini?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Barabarani kumekuwa na mashimo mengi ambayo yaweza kupelekea kuharibika kwa vyombo vya usafiri na kufanya wamiliki kuingia gharama za matengenezo. Sasa kodi ninalipa, kwenye mafuta kuna tozo ya barabarani, bado naongezewa gharama za kutengeneza gari kwa namna isiyokuwa ya moja kwa moja kwa sababu ya barabara kuwa na mashimo; hivi huu ndio wajibu wa serikali?
 
Kodi yako ndo tunalipana mishahara na posho.....inayobak nawajengea kiwanja cha ndege walionipa kura....we endelea kulipa tu maana huna jinsi ....hapa Kaz tu.
 
Back
Top Bottom