Mbona Manji hapati watetezi?

hata manji mwana ccm anarudisha nyumba ya pspf, hakuna double standard
Kwani manji sakata lake limeanza lini? Je sumaye je. Ndg angalia kwa jicho la tatu,hapa kuna watu wanatafutwa ila ktk msafara wa mamba hata kenge wamo
 
Mwaka jana Sumaye akiwa CCM,alipokwa maelfu ya ekari huko Kibaha,Msufini kwa kutoendeleza hatukusikia kelele. Pili,hadi shamba linapokwa kunia akuwa na notice ya kujieleza kwanini huendelezi...sasa ukimiliki ekari 33 ndani ya jiji lazima uwe na business plan na jinsi ya kuwekeza kupitia TIC, Sumaye hakukidhi vigezo. Mbowe?? Mbunge wa Mbarali??? Manji??? tuwe na akiba ya maneno.
 
Lkn hili shamba Lina kesi mahakamani, kwann basi hawakusubili kesi hiyo iishe kwanza basi?
 
Back
Top Bottom