Mbona malenga wetu wako kimya na hii hali ya siasa?

Waarabu hawafai, lete hati niione,
Nitakapo kudai, usilete mengine,
Nakuona ulaghai, hatima tusigombane
Njoo Jumatatu, nami nashauri moyo


Umetaka mashahidi nimeleta, ukawakataa ukataka waarabu nimewaleta bado umewakataa sasa unasema unataka hati...nami nasema....


Hati ulioitaka kaindika karani
Bwana siku zinapita, nifanyie niauni
Yasinkute matata, hujui nna shida gani
Tafadhali nkopeshe, haondoe haja yangu
 
Back
Top Bottom