Mbona makanisa hayamsaidi Kikwete Katika Mgomo wa Madktari?

Status
Not open for further replies.
Nakuunga mkono BT,hapa ukienda bugando utawakuta wengi tu wamejazana lakin saiv wanachonga.Wakristo wanapata kwasbb wana sehem za kuwekeza na miradi iko endelevu,sasa hawa ndugu zetu wanalalamika tu na wakat hata wakipewa hawana ujuzi wa kuendeleza,angalia mirad yao ming imecollapse kwasbb ya maneno hayahaya,So kanisa limsaidie kikwete kwa mgogoro wa Drs il iweje,kwan waislam wamemmsaidiaje?
 
Badala ya kuwahimiza waumini kwenda shule, nguvu kubwa inatumika kuwakimbizia madrasa. Hizi ndio outcomes
 
ndugu umesema kweli, hii dini nina wasiwasi kama wanajua mtu wanaemwabudu,mi nipo zenji,yaani wao adui wao mkuu ni mkristo na ukristo si shetani. yaani watu wengi wanaumwa/wanasumbuliwa na mashetani,mapepo na majini wao wanasema wanayasomea kuyatuliza lakini wapi? 4 sure natamani niijui kwa undani dini hii imejaa hatrage sana
 
ndugu umesema kweli, hii dini nina wasiwasi kama wanajua wanaemwabudu,mi nipo zenji,yaani wao adui wao mkuu ni mkristo na ukristo si shetani. yaani watu wengi wanaumwa/wanasumbuliwa na mashetani,mapepo na majini wao wanasema wanayasomea kuyatuliza lakini wapi? 4 sure natamani niijui kwa undani dini hii imejaa hatrage sana
 
RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - TBC.
tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia Mbali bajeti ya Serekali ya Wizara ya Afya .Haya ni Bugando, KCMC na Mengine

Mbona sioni dalili yoyote Makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?


Jipangeni upya na BAKWATA Hospitals
 
RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - TBC.
tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia Mbali bajeti ya Serekali ya Wizara ya Afya .Haya ni Bugando, KCMC na Mengine

Mbona sioni dalili yoyote Makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?

mgomo wa madaktari unahusiana vipi na ruzuku inayotolewa kwenye hosp za mashirika ya dini?
kumbuka hapa yametajwa mashirika ya dini na sio kanisa,hata hosp zinazoendeshwa na waislamu zitapata(hivi kwanza zipo)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom