Mbona maisha yanazidi kuwa magumu?

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Habari zenu nyote Nina swali ambalo linanisumbua sana kadri siku zinavyoenda maisha yanazidi kuwa magumu hivi nn CHANZO NA SULUHISHO?

KARIBUNI WANABODI
 
Chanzo ni kuwa mfumo na watu waliomo unabadilishwa taratibu so lazima kujikaza kisawasawa pia cha kufanya ni kutumia vizuri kile kidogo unachokipata
 
Mfumo wa kiutawala umebadilika kwa mfano kwa sasa hata mzunguko wa fedha umekuwa ni mgumu sana kwa mfano jana nilfanya reserch yangu ndogo sana kuanzia tabata segerea hadi sinza maeneo ya ambiance night club dah aisee kwenye maeneo mengi ya starehe hakuna wateja kabisa na hata wateja waliopo wengi wao wanakunywa maji madogo na story za hapa na pale.Vile vile stand kuu ya mabasi yaendayo Mikoani wasafiri wengi kutoka Dsm wanasafirisha vitanda na magodoro kurudisha mikoani mbali na hivyo zile movement za watu hasa maeneo ya manzese,ubungo terminal hakuna movement kama tulivyozoea maisha yamekuwa magumu sana.
 
SAIZ INABIDI KILA MTU AJIFUNGE MKANDA NA KUFIKIRIA MBINU MBADALA YA KUMWWZESHA KUWEPO MJINI MFANO WA KINYONGA ANAYE JIBADILI RANGI KULINGANA NA MAZINGIRA YALIYOPO
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom