Mbona Magufuli alipokuwa akikosoa ya Kikwete mlikaa kimya? Muacheni Rais Samia

rpg

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
3,554
2,000
Na ushangiliaji wao ulikuwa mbaya sana. Walikuwa wanakera kama chenga za Morrison! Ila Mungu fundi sana! Yaani alimwondoa jamaa bila hata kuonesha kazuri hata kamoja!

Five years no salary increment, hakuwahi kuongea hata alivyowapoteza akina Ben Saa Nane halafu na wizi Chaguzi, 2019 na 2020! ROho mbaya sana huyo JPM!
Kwa kuwa wewe hutakufa. Na kwa vile wewe unaroho nzuri. Tusiwe na roho ngumu hivi ya kuhukumu wafu.
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
4,642
2,000
Tena amkosoe sana sana maneke na yeye atakuja kukosolewa tu. Hasa wakija kuingia Sukuma Gang itakuwa kamzilimbano haswaaaa!
Tena amkosoe sana sana maneke na yeye atakuja kukosolewa tu. Hasa wakija kuingia Sukuma Gang itakuwa kamzilimbano haswaaaa!
Sukuma gang ni wagonjwa wa skili woote! Hawafai.....kwani jiwe alipokuwa anamkosoa Kikwete!! Yeye huyo jiwe alikuwa baraza gani la uwaziri??.....km alijua kikwete anakosea!! Haendani na sera zake. simple tu angejiuzuru akaingia upinzani na akaishi km mrema!!
Uteuzi aliukubali. Akaiba.akapata umaarufu kupitia kikwete,Mkapa nk. Then leo eti anamnanga Baba na Boss wake kubwa...jamani ivi kweli jiwe alikuwa mzima au alikufa kitambo kabla??

Km kikwete alikuwa mwizi angesemea kulekule, aone moto. Lkn hata ivo Mungu alimlaani jiwe kwa kutamka ubaya kwa walio mlea. Babako akikutania anakuweka karibu na kukuondolea uoga..siyo na wewe sasa umrudishie utani umtanie....mwee!! Ukifanya ivo weye ni kimeo Huna akili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom