Mbona leo walinzi wa Mukulu walikuwa makini kuliko kawaida?

katika mazingira ambayo hukushinda kihalali pia unaendesha nchi kibabe na konea watu lazima uwe na ulinzi wa ziad
ulitaka washinde mafisadi sio. una matatizo ya akili nadhani. nyinyi ndio mlitaka kuifilisi nchi, mmeshindwa and you will never win. swiss me
 
1468060067452.jpg
 
Hata mi nlinotice hicho kitu walikua wamekaba balaa,hadi gari inaondoka wameshikilia milango yoote wanasindikiza
 
Back
Top Bottom