Mbona leo walinzi wa Mukulu walikuwa makini kuliko kawaida?

yan wewe mtz leo unajifanya u mrandwa dah ila wewe sio wakwanza kukana kumbuka ata yesu alikanwa...tena mara tatu...afrika mashariki na dunia kwa ujimla kiswahili kilichonyooka kama ulichoandika kinapatikana tanzania tuu sasa uko rwanda sijui ni rwanda ipi inayofundisha kiswahili kilichooka HIVYO....ACHA KUTUFANYA WATOTO WADOGO

Bila shaka Wewe ni Mke Wangu kwani unanijua vizuri sana hivyo basi unaonaje leo ukawa wa kwanza kuwaambia Wanajamvi Mimi Mumeo ni nani. Siku zote nilikuwa natamani sana kuijua ID ya Mke wangu namshukuru sana Mwenyezi Mungu leo nimeijua.
 
unagongwa na popo bawa wewe hanisi nini
 
Hukuwa na sababu ya kusingizia upo Rwanda.
Kwa kukusaidia ni kwamba ulinzi kwa Rais ni jambo la lazima ila hicho unachokiita ulinzi imara zaidi wa hilo tukio la Eid kipo zaidi ya nje ya Eid pia.
Kila kiongozi anakuwa na adui , generally uongozi wa JPM una adui anaitwa "FREE MARKET OUTLAW UNIT". Hawa ni kundi ambalo limeathiriwa sana na uongozi huu mpya, Rais yupo katika kipindi kigumu cha kiusalama.

J. Kennedy alikutana na kundi la FREE MARKET OUTLAW UNIT ambalo uongozi wake ulikuwa kikwazo katika biashara zao haswa SILAHA ( WAR SCENE TRADE) , Director of FBI wa kipindi kile alishiriki kwa kiasi kikubwa kufa kwa J. F Kennedy ( Highly paid by such Unit).

Nimeweka huo mfano just to make you get the clear picture out of Eid event, this term Security is of high sensitive. JPM anapambana na mfumo wa "TYCOONS OUTLAW UNIT" ambao ndiyo wamezoea kuushika uchumi kwa njia "HARAMU".

Fungua macho.
 
Mm sijasoma chocho mkuu na sikuepo hapo jf nilikuwa nachimba jalala la taka!huko siko bu
 
CCM oyeeeee mm sikuepo ndo narudi lkn naona mlango wa nyumbangu kuna mtu anagusa kitasa sijui nani?
 
Hukuwa na sababu ya kusingizia upo Rwanda.
Kwa kukusaidia ni kwamba ulinzi kwa Rais ni jambo la lazima ila hicho unachokiita ulinzi imara zaidi wa hilo tukio la Eid kipo zaidi ya nje ya Eid pia.
Kila kiongozi anakuwa na adui , generally uongozi wa JPM una adui anaitwa "FREE MARKET OUTLAW UNIT". Hawa ni kundi ambalo limeathiriwa sana na uongozi huu mpya, Rais yupo katika kipindi kigumu cha kiusalama.

J. Kennedy alikutana na kundi la FREE MARKET OUTLAW UNIT ambalo uongozi wake ulikuwa kikwazo katika biashara zao haswa SILAHA ( WAR SCENE TRADE) , Director of FBI wa kipindi kile alishiriki kwa kiasi kikubwa kufa kwa J. F Kennedy ( Highly paid by such Unit).

Nimeweka huo mfano just to make you get the clear picture out of Eid event, this term Security is of high sensitive. JPM anapambana na mfumo wa "TYCOONS OUTLAW UNIT" ambao ndiyo wamezoea kuushika uchumi kwa njia "HARAMU".

Fungua macho.

Maelezo marefu na " mikogo " mingi lakini nilichokigundua katika UPOPOMA wako wote huu ni full TITO and GIGO. Halafu usinilazimishe Mimi kuwa nipo Tanzania. au unaona " nongwa " Mimi kuwa Mnyarwanda tena wa Kabila la Kitutsi niishie huku Mkoani Gisenyi kwetu? Hata hivyo hongera kwa kuja na maneno yako ya mikwara sijui FREE MARKET OUTLAW UNIT mara TYCOONS OUTLAW UNIT kwani " waoga " wa mikwara yenu wameshakuogopa.
 
Kwani ni nini lengo LA kuanzisha Uzi huku?Uzi upo ktk aina ya Swali,hivyo unataka majibu.Unajibiwa lakini bado unacritisize unachojibiwa as if una majibu yako tayari ambayo hutaki mtu ajibu tofauti na hayo!halafu acha tabia za kike,wajuzi wa mambo ni wakimya ila vilaza siku zote huwa midomo juu kutaka kuonekana wanajua!ni hayo tu
 
Kwani ni nini lengo LA kuanzisha Uzi huku?Uzi upo ktk aina ya Swali,hivyo unataka majibu.Unajibiwa lakini bado unacritisize unachojibiwa as if una majibu yako tayari ambayo hutaki mtu ajibu tofauti na hayo!halafu acha tabia za kike,wajuzi wa mambo ni wakimya ila ****** siku zote huwa midomo juu kutaka kuonekana wanajua!ni hayo tu
You have spoken my mind
Kila anayemjibu anakosoa ikiwa thread ipo kwa mtindo wa swali.
 
Hataki kuunguzwa! Nadhani alitaka kusema kuwa hataki kupigwa "ban" yaani kupigwa "stop". Kiingereza kina wenyewe.

Watu wengine bhana hako kakosa kadogo unakavalia njuga eti kingereza kina wenyewe kwahiyo wenyewe ndiyo wewe?
 
Watu wengine bhana hako kakosa kadogo unakavalia njuga eti kingereza kina wenyewe kwahiyo wenyewe ndiyo wewe?
Ndio shida ya Wabongo hii, hatupendi kukosolewa, nimesaidia kurekebisha hilo neno badala ushukuru unaponda!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom