Mbona leo walinzi wa Mukulu walikuwa makini kuliko kawaida?

Eti leo ulinzi umeimarishwa,umbea mtupu,km hukua na lakusema lenye mana fungakilomo
 
Nimeshuhudia mikutano kadhaa na yote kupitia Runinga inayohusisha Viongozi wakuu wa nchi mbalimbali ikiwemo na ya Tanzania ila nimeshangaa na kila mara nikawa najiuliza leo wakati Mheshimiwa Mukulu yupo Karimjee kuungana na Waislamu Tanzania kusheherekea Sikukuu ya Eid Walinzi wake walikuwa makini kupita maelezo kiasi kwamba hata inzi alikuwa hawezi kuruka kati yao kwa umakini waliokuwa nao.

Je nini imepelekea hii hali leo? Najua humu kuna Wataalam wa haya mambo hivyo basi si vibaya mkatoa ujuzi wenu kwetu sisi tusiojua ili nasi tuweze kuelimika na vile vile inaweza ikawa ni chachu kwa wengine wenye kutamani kufanya hiyo Kazi na wao waweze kuhamasika.

Hawa jamaa huwa napenda sana kuwaona na hata kuwapa pongezi kwa umakini na uhodari wao wa ulinzi ila tatizo kubwa nipo nao mbali wao wakiwa huko Tanzania na Mimi nikiwa huku nchini Rwanda.

Natamani sana hata sisi huku kwetu Walinzi wa Rais wetu Paul Kagame na wao wawaige Walinzi hawa wa Rais wa Tanzania kwani kiukweli wana ueledi wa hali ya juu mno na wanajua wanachokifanya.

Tanzania mmebarikiwa kila kitu sijui kwanini na kiukweli tunawaonea wivu hadi nasi tunatamani sasa tuitwe tu Watanzania.
Si unajua sasa hivi makundi ya khgaidi yanatafuta kiki kupitia mikusanyiko ya waislamu!!
 
Unajua ni vizuri kuchukua tahadhari maana wenzetu na wale jamaa wa ISIS wanavyopenda kiki, wanaweza kuharibu hali ya hewa.
 
yan wewe mtz leo unajifanya u mrandwa dah ila wewe sio wakwanza kukana kumbuka ata yesu alikanwa...tena mara tatu...afrika mashariki na dunia kwa ujimla kiswahili kilichonyooka kama ulichoandika kinapatikana tanzania tuu sasa uko rwanda sijui ni rwanda ipi inayofundisha kiswahili kilichooka HIVYO....ACHA KUTUFANYA WATOTO WADOGO
 
Nimeshuhudia mikutano kadhaa na yote kupitia Runinga inayohusisha Viongozi wakuu wa nchi mbalimbali ikiwemo na ya Tanzania ila nimeshangaa na kila mara nikawa najiuliza leo wakati Mheshimiwa Mukulu yupo Karimjee kuungana na Waislamu Tanzania kusheherekea Sikukuu ya Eid Walinzi wake walikuwa makini kupita maelezo kiasi kwamba hata inzi alikuwa hawezi kuruka kati yao kwa umakini waliokuwa nao.

Je nini imepelekea hii hali leo? Najua humu kuna Wataalam wa haya mambo hivyo basi si vibaya mkatoa ujuzi wenu kwetu sisi tusiojua ili nasi tuweze kuelimika na vile vile inaweza ikawa ni chachu kwa wengine wenye kutamani kufanya hiyo Kazi na wao waweze kuhamasika.

Hawa jamaa huwa napenda sana kuwaona na hata kuwapa pongezi kwa umakini na uhodari wao wa ulinzi ila tatizo kubwa nipo nao mbali wao wakiwa huko Tanzania na Mimi nikiwa huku nchini Rwanda.

Natamani sana hata sisi huku kwetu Walinzi wa Rais wetu Paul Kagame na wao wawaige Walinzi hawa wa Rais wa Tanzania kwani kiukweli wana ueledi wa hali ya juu mno na wanajua wanachokifanya.

Tanzania mmebarikiwa kila kitu sijui kwanini na kiukweli tunawaonea wivu hadi nasi tunatamani sasa tuitwe tu Watanzania.
taratibu unahatarisha usalama wa nchi
 
Nahisi Wewe ni Mtu mzima tena pengine hata kumfikia Mugabe wa Zimbabwe ila akili au upeo wako ni mdogo kama Mtoto aliyezaliwa leo Muhimbili. Hivi kuna dhambi gani au nimefanya kosa lipi la kimantiki katika UZI wangu huu niliouanzisha? Mbona Wananchi wa nchi zingine tena zenye TAASISI IMARA ZA KIJASUSI NA ULINZI wako huru katika kujadili hizo taasisi na Wahusika huwajibu bila hiyana na Watu wanaelimika? au unadhani labda sijui NINACHOKIFANYA au sijui MIPAKA ya hao Watu? Naona mpo wengi mno Wewe na WAPUMBAVU wenzio mliokurupuka na kudhani nina AGENDA ovu dhidi ya nilichoulizia. Jifunzeni kufanya tafiti thabiti ndipo muwe mnakuja " kunipovukia " humu. Hivi kuna taasisi imara kama MOSSAD au CIA au KGB duniani? Angalieni katika vyanzo mbalimbali kama Watu huwa hawawajadili. Hao wa Tanzania wamekuwa ni MALAIKA? Najisikia aibu mno KUKUDHARAU ila kwa huu " upuuzi " wako nimeshakudharau.
hivi wewe ni mnyarwanda au mtz maana naona muhimbili unaijua vizuri
 
Tatizo lako dogo huwa unajifanya unajua vitu kumbe mbumbumbu wa mwisho halafu mbaya sana wewe ni mwanaume ila vitu unavyofanyaga ni kama ex wangu yaani unafanya vitu vya kike mbumbumbu wewe umeshindwa kujua kuwa hakuna kitu kinachoitwa KGB duniani kwa mwaka wa ishirini na tano sasa kama sikosei yaani ni sawa sawa na mtu aseme hakuna chama imara hapa tanzania kwa sasa hivi kama TANU

mbumbumbu wewe post yako imeongelea kuhusu walinzi wa rais jamaa alivyokujibu ukamtolea mfano wa Mossad, Cia, kgb kwa maana yako na umbumbumbu wako kuwa CIA ndio wana dili na ulinzi wa rais wa marekani

mbumbumbu kabisa wewe

umbumbumbu wako huu matokeo yake kwenye post zako unatoaga maboko bila wewe kujua (hujui kama unatoa boko kwa sababu wewe ni mbumbumbu)

eti walikuwa makini siku zote utendaji kazi wao unakuwaje? maana inaonekana unawafuatilia sana hawa jamaa

maniac
anakuwa kama wale wanaoitwa wa dar.
 
Nimeshuhudia mikutano kadhaa na yote kupitia Runinga inayohusisha Viongozi wakuu wa nchi mbalimbali ikiwemo na ya Tanzania ila nimeshangaa na kila mara nikawa najiuliza leo wakati Mheshimiwa Mukulu yupo Karimjee kuungana na Waislamu Tanzania kusheherekea Sikukuu ya Eid Walinzi wake walikuwa makini kupita maelezo kiasi kwamba hata inzi alikuwa hawezi kuruka kati yao kwa umakini waliokuwa nao.

Je nini imepelekea hii hali leo? Najua humu kuna Wataalam wa haya mambo hivyo basi si vibaya mkatoa ujuzi wenu kwetu sisi tusiojua ili nasi tuweze kuelimika na vile vile inaweza ikawa ni chachu kwa wengine wenye kutamani kufanya hiyo Kazi na wao waweze kuhamasika.

Hawa jamaa huwa napenda sana kuwaona na hata kuwapa pongezi kwa umakini na uhodari wao wa ulinzi ila tatizo kubwa nipo nao mbali wao wakiwa huko Tanzania na Mimi nikiwa huku nchini Rwanda.

Natamani sana hata sisi huku kwetu Walinzi wa Rais wetu Paul Kagame na wao wawaige Walinzi hawa wa Rais wa Tanzania kwani kiukweli wana ueledi wa hali ya juu mno na wanajua wanachokifanya.

Tanzania mmebarikiwa kila kitu sijui kwanini na kiukweli tunawaonea wivu hadi nasi tunatamani sasa tuitwe tu Watanzania.
Kuna taarifa nyeti.
 
Bush alirushiwa kiatu
Mwinyi alizabwa kofi

Mara nyingi huwa naona mlinzi mmoja nyuma yake , Jana walikuwa wawili
 
Tatizo lako dogo huwa unajifanya unajua vitu kumbe mbumbumbu wa mwisho halafu mbaya sana wewe ni mwanaume ila vitu unavyofanyaga ni kama ex wangu yaani unafanya vitu vya kike mbumbumbu wewe umeshindwa kujua kuwa hakuna kitu kinachoitwa KGB duniani kwa mwaka wa ishirini na tano sasa kama sikosei yaani ni sawa sawa na mtu aseme hakuna chama imara hapa tanzania kwa sasa hivi kama TANU

mbumbumbu wewe post yako imeongelea kuhusu walinzi wa rais jamaa alivyokujibu ukamtolea mfano wa Mossad, Cia, kgb kwa maana yako na umbumbumbu wako kuwa CIA ndio wana dili na ulinzi wa rais wa marekani

mbumbumbu kabisa wewe

umbumbumbu wako huu matokeo yake kwenye post zako unatoaga maboko bila wewe kujua (hujui kama unatoa boko kwa sababu wewe ni mbumbumbu)

eti walikuwa makini siku zote utendaji kazi wao unakuwaje? maana inaonekana unawafuatilia sana hawa jamaa

maniac

Ni vyema kama huelewi kitu uwe unajiongeza kwanza. Mosi Nimetaja hayo mashirika ya Kijasusi kama vile kufanya reference ya hoja yangu na usidhani kama labda sijui nini kinaendelea huko katika hayo Mashirika.

Pili hata unichukie kiasi gani au ukiona hii ID yangu unaumia kiasi gani sijali kwani najijua mwenyewe uwezo wangu Kichwani upoje.

Nimefurahi pia kujua kuwa kumbe huwa unanifuatilia sana humu JF kiasi kwamba kila post yangu au UZI wangu unaujua. Nimefarijika mno kujua kuwa kumbe kuna Watu ni WAFUASI wangu iwe kwa ubaya au kwa uzuri na ndiyo nyie mnanifanya nijulikane na niwe maarufu.

Tatu nakusihi tu Mkuu usiache KUNICHUKIA kwani kunichukia kwako ndiko kunanijenga mno Mimi.

Nne usiseme tu kuwa NAJIFANYA NAJUA MAMBO au VITU ila ukweli ni KWAMBA NAJUA VITU / MAMBO mengi hadi mwenyewe najishangaa kwanini hii tabia ya kujua mambo mengi au vitu vingi Mwenyezi Mungu hakukupa Mtu kama Wewe

Hii ni sehemu yangu tu ya mwanzo ya majibu yangu kwako na nakusikilizia kama bado utapenda " kuliendeleza ".
 
taratibu unahatarisha usalama wa nchi

Kusema au kuuliza mbona ulinzi wa Mukulu leo ( jana ) ulikuwa beefed up ni kuhatarisha amani na usalama wa nchi? Sasa nimejua kuwa kumbe huwa sifanyi makosa ninapowadharau baadhi ya Watanzania kuwa " hamna akili " na hamjui kujenga hoja. Nataka nyie wote mnaojifanya KUNITISHA na kunipiga MIKWARA yenu " mbuzi " mniambie ni kosa gani NIMELIFANYA juu ya kuulizia ulinzi wa Mukulu? Kwahiyo sasa tumefikia hatua hadi ya KUTISHANA kwakuwa unawaulizia tu WALINZI wa Rais? Je ningesema kuwa nimependa dressing code yao au nimependa jinsi Mheshimiwa Rais alivyopendeza na ile Suti yake mngekuja na hizi so called " blanket statements " zenu?
 
Back
Top Bottom