GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Nimeshuhudia mikutano kadhaa na yote kupitia Runinga inayohusisha Viongozi wakuu wa nchi mbalimbali ikiwemo na ya Tanzania ila nimeshangaa na kila mara nikawa najiuliza leo wakati Mheshimiwa Mukulu yupo Karimjee kuungana na Waislamu Tanzania kusheherekea Sikukuu ya Eid Walinzi wake walikuwa makini kupita maelezo kiasi kwamba hata inzi alikuwa hawezi kuruka kati yao kwa umakini waliokuwa nao.
Je nini imepelekea hii hali leo? Najua humu kuna Wataalam wa haya mambo hivyo basi si vibaya mkatoa ujuzi wenu kwetu sisi tusiojua ili nasi tuweze kuelimika na vile vile inaweza ikawa ni chachu kwa wengine wenye kutamani kufanya hiyo Kazi na wao waweze kuhamasika.
Hawa jamaa huwa napenda sana kuwaona na hata kuwapa pongezi kwa umakini na uhodari wao wa ulinzi ila tatizo kubwa nipo nao mbali wao wakiwa huko Tanzania na Mimi nikiwa huku nchini Rwanda.
Natamani sana hata sisi huku kwetu Walinzi wa Rais wetu Paul Kagame na wao wawaige Walinzi hawa wa Rais wa Tanzania kwani kiukweli wana ueledi wa hali ya juu mno na wanajua wanachokifanya.
Tanzania mmebarikiwa kila kitu sijui kwanini na kiukweli tunawaonea wivu hadi nasi tunatamani sasa tuitwe tu Watanzania.