Mbona kunakucha mapema?

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,616
7,863
Naona kama siku hizi za karibuni hapa dar kunakucha (jua linachomoza) mapema kuliko kawaida (nahisi kama kuna tofauti kidogo na miaka iliyopita kwa kipindi kama hiki). Kwa mfano, kuanzia saa 11:45 alfajiri huitaji mwanga wa taa kuendesha gari tofauti pengine na mwaka jana. Hali hii inasababishwa na nini?
 
hayo mambo yanfafanuliwa vizuri kijiografia. yanatokana na mabadiliko ya jua la utosi. jua la utosi huhamia tropiki ya ikweta mara mbili kwa mwaka na tropiki ya kansa na tropiki ya kaprikon mara moja moja kwa mwaka. ni mabadiliko hayo ndio huleta tofauti ya urefu wa mchana na usiku katika sehemi mbalimbali dunia nzima. unaweza pia kurejea utabiri wa mawio na machweo ya jua na uoanishe na tarehe za jua la utosi kwa tropiki inayohusika utapata jibu la swali lako. naamini kwa haya machache umenielewa
 
hayo mambo yanfafanuliwa vizuri kijiografia. yanatokana na mabadiliko ya jua la utosi. jua huhamia ikweta mara mbili kwa mwaka na tropiki ya kansa na tropiki ya kaprikon mara moja moja kwa mwaka. ni mabadiliko hayo ndio huleta tofauti ya urefu wa mchana na usiku katika sehemi mbalimbali dunia nzima. unaweza pia kurejea utabiri wa mawio na machweo ya jua na uoanishe na tarehe za jua la utosi kwa tropiki inayohusika utapata jibu la swali lako. naamini kwa haya machache umenielewa

Mtu Mmoja:

Haya maelezo ungeyatoa kwa "lugha yao" yangeelewaka vizuri - Kiswahili akijitoshelezi hasahasa kwa maneno ya kisayansi

tropiki ya kanasa =?
 
Mtu Mmoja:

Haya maelezo ungeyatoa kwa "lugha yao" yangeelewaka vizuri - Kiswahili akijitoshelezi hasahasa kwa maneno ya kisayansi

tropiki ya kanasa =?

haha, nimetumia ka-jiografia kangu ka shule ya kata! hahah

lazima tuijenge na kuithamini lugha yetu bwana. hapo kwenye bold nimeishaona na kurekebisa ni "tropiki ya kansa"
 
Hilo la kubadilika katika vipindi tofauti vya mwaka nalifahamu. Shida yangu ni tofauti kutoka mwaka hadi mwaka kwa kipindi kilekile. Say, kwa mfano, leo jua limechomoza mapema kuliko siku kama ya leo mwaka jana
 
haha, nimetumia ka-jiografia kangu ka shule ya kata! hahah

lazima tuijenge na kuithamini lugha yetu bwana. hapo kwenye bold nimeishaona na kurekebisa ni "tropiki ya kansa"

Kiongozi, nathamini sana Kiswahili lakini uwa napata taabu hasa ninapotafsi maneno ya Kingereza kwenda Kiswahili!

Rudia maandiko yako uhakiki:-
"... mchana na usiku katika sehemi.."
"... ni mabadiliko hayo ndio.."
"... kurejea utabiri wa (?) mawio na machweo..."
 
Hilo la kubadilika katika vipindi tofauti vya mwaka nalifahamu. Shida yangu ni tofauti kutoka mwaka hadi mwaka kwa kipindi kilekile. Say, kwa mfano, leo jua limechomoza mapema kuliko siku kama ya leo mwaka jan

jiografia inahusika. recall hata jigrafia ya level ya sekondari ya kata utaona kuwa hata miaka si sawa. dunia hukamilisha mzunguko wake mmoja kwa siku 365 na 1/4, hivyo hiyo sehemu (fraction) ya siku can mean a lot over a number of years. mfano mbona huulizi kuwa kwa nini mwaka mpya mwaka huu unaweza kuwa j2 na mwaka kesho ukawa j5? yote hayo na mengine mengi ni matokeo ta spherical shape ya dunia yetu na yatokanayo na mzunguko wale arround the sun.

NOTE: mabadiliko ya tabianchi yanweza kuhusika lakini kwa kiwango ambacho ni a little more than negligible to cause a case on hand, lakin if that had been a case over hundreds of years, the accumulated effects can have big impact
 
Kiongozi, nathamini sana Kiswahili lakini uwa napata taabu hasa ninapotafsi maneno ya Kingereza kwenda Kiswahili!

Rudia maandiko yako uhakiki:-
"... mchana na usiku katika sehemi.."
"... ni mabadiliko hayo ndio.."
"... kurejea utabiri wa (?) mawio na machweo..."

errors and omissions are acceptable

mkuu hizo ni strokes of a pen, so haziathiri ujumbe,
 
mi nadhani kunakucgha harak kwa ajili ya ccm kuchakachua matokeo
 
kunakucha mapema ili uwai kwenda kazini na mchahara upate haraka shida ipo wapi?
 
hayo mambo yanfafanuliwa vizuri kijiografia. yanatokana na mabadiliko ya jua la utosi. jua la utosi huhamia tropiki ya ikweta mara mbili kwa mwaka na tropiki ya kansa na tropiki ya kaprikon mara moja moja kwa mwaka. ni mabadiliko hayo ndio huleta tofauti ya urefu wa mchana na usiku katika sehemi mbalimbali dunia nzima. unaweza pia kurejea utabiri wa mawio na machweo ya jua na uoanishe na tarehe za jua la utosi kwa tropiki inayohusika utapata jibu la swali lako. naamini kwa haya machache umenielewa

kwahiyo ume-rule out kuwa ni kweli kunakucha mapema?! Mi sioni tofauti ya leo na mwaka jana.
 
Back
Top Bottom