MBONA KIMYA KIMYA: Tume ya UCHAGUZI tunahitaji ratiba ya uandikishaji wa wapiga kura

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,836
7,492
Baada ya uandikishaji wa majaribio sifahamu kinachoendelea kuhusu uandikishaji wapiga kura . Nasikia tu wanasiasa wakihamasishana kwenye vyama wakajiandikishe . Hapa kuna mchezo wa makusudi ama uzembe ili wajiandikishe baadhi na baadhi walale usingizi wakistuka wameliwa. Hebu tangazeni hili zoezi na ratiba mtuwekee .Kama tume ina website tupewe
 
Back
Top Bottom