Mbona Kesi nyingine za EPA hazirindimi? Nauliza

nat867

Member
Feb 14, 2008
97
5
Nashangaa moto wa vyombo vya dola umepoa.

Mbona kesi za EPA Hazirindimi? Au zilihairishwa hadi lini au ni indefinetely. Na je mbona hakuna ingizo jipya maana bado kuna kampuni kibao hazijafikishwa kwa pilato, any news!
 
Back
Top Bottom