Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,716
- 15,275
Shida nyinyi mnapenda kujipendekeza sana na kujishaua huku hamkualikwa na wala hamkulazimishwa kuja sasa kupewa nafas tu kwenye geto la msela unataka kujifanya kama vile we ndo mmiliki wa nyumba upumbavu wenu mpelekeane hukohuko kwenuJuu ya inferiority complex
Juu mnajua wakenya ndio wanaweza
"KENYA FORUM" hapa JF ndio inaleta profit .....sisi sio LDC wakenya wakitoka JF most of you wont have a reason to log in; JF will die