Mbona Kenyan forums Tanzanians?

Juu ya inferiority complex
Juu mnajua wakenya ndio wanaweza

"KENYA FORUM" hapa JF ndio inaleta profit .....sisi sio LDC wakenya wakitoka JF most of you wont have a reason to log in; JF will die
Shida nyinyi mnapenda kujipendekeza sana na kujishaua huku hamkualikwa na wala hamkulazimishwa kuja sasa kupewa nafas tu kwenye geto la msela unataka kujifanya kama vile we ndo mmiliki wa nyumba upumbavu wenu mpelekeane hukohuko kwenu
 
Nimepitia "News and current events" tanzanian forum, watz are very few! Thread inapita with, 0,1 or 2 comments! mingi sana hardly reaches 20 replies! maybe few. Lakini on Kenyan issues hapa muko kibao, macho na vidole!! why are u following with such interest? mko wengi hapa kushinda kenyans! kazi ni kuponda, kupinga na kujaribu kudunisha kenya., mbona? fact cant be changed with many words n winning a debate with selected facts to suit a bias, Tanzanians changieni mada kwa wingi kama munavyo fanya hapa on your forums!
Jamii forums imejawa na watanzania na wakenya
Bus kenyans ni kama asilimia0.1 ya tanzanians so tanzanians wanaona kama jamiiforums yote inawahusu
 
Nimepitia "News and current events" tanzanian forum, watz are very few! Thread inapita with, 0,1 or 2 comments! mingi sana hardly reaches 20 replies! maybe few. Lakini on Kenyan issues hapa muko kibao, macho na vidole!! why are u following with such interest? mko wengi hapa kushinda kenyans! kazi ni kuponda, kupinga na kujaribu kudunisha kenya., mbona? fact cant be changed with many words n winning a debate with selected facts to suit a bias, Tanzanians changieni mada kwa wingi kama munavyo fanya hapa on your forums!
Mkuu chagua kuandika kwa lugha moja kiswahili hama kiingereza. Sijaelewa
 
Nimepitia "News and current events" tanzanian forum, watz are very few! Thread inapita with, 0,1 or 2 comments! mingi sana hardly reaches 20 replies! maybe few. Lakini on Kenyan issues hapa muko kibao, macho na vidole!! why are u following with such interest? mko wengi hapa kushinda kenyans! kazi ni kuponda, kupinga na kujaribu kudunisha kenya., mbona? fact cant be changed with many words n winning a debate with selected facts to suit a bias, Tanzanians changieni mada kwa wingi kama munavyo fanya hapa on your forums!
Why Tanzania?

Kilimanjaro in Tanzania
Olduvai George in Tanzania
Magufuli in Tanzania
Nyerere in Tanzania
Kiba in Tanzania
Diamond in Tanzania

And also
Rooney in Tanzania!!???
 
Nimepitia "News and current events" tanzanian forum, watz are very few! Thread inapita with, 0,1 or 2 comments! mingi sana hardly reaches 20 replies! maybe few. Lakini on Kenyan issues hapa muko kibao, macho na vidole!! why are u following with such interest? mko wengi hapa kushinda kenyans! kazi ni kuponda, kupinga na kujaribu kudunisha kenya., mbona? fact cant be changed with many words n winning a debate with selected facts to suit a bias, Tanzanians changieni mada kwa wingi kama munavyo fanya hapa on your forums!
Ukimaliza hapo unambie kwa nini magazeti ya Kenya siku hizi kila yakiandika habari yanailinganisha habari hiyo na hali ilivyo Tanzania!
 
Waliposema Kenyan forum kwani walimaanisha wasio wakenya wasihusike,na kuna tatizo gani ?
 
Back
Top Bottom