Mbona Kariakoo Wamachinga bado wapio kibao, wengine pembeni ya kituo cha polisi?

Umeona imekubalika na watanzania au wanatumia mibavu?
kwahiyo na hii ya machinga unataka watumie ubavu? Mzee ukitaka kuona kuongoza watu ni shida basi kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi utaelewa. Au hata kiongozi kwa level ya familia.
 
Back
Top Bottom