Limekuja kukumbusha kuwa kuna Moto tumuombe MunguMalaika wa zamu anachoma matofali.
Hapana mkuu huko juu malaika wanashere wamebandika maharage si unajua tena maharage yalivyomabishi kuiva..!Malaika wa zamu anachoma matofali.
Tag locationKuna Nini huko duniani? Jua la leo limechomoza likiwa Kali sijawahi experience! Chukueni tafadhali
Ungezungumza kwa lugha ya enzi za leo. Badala ya kusema leo jua limewaka sana, ungesema leo joto ni nyuzi fulani ambapo mpaka jana joto lilikuwa nyuzi kadhaa tu. Hapo mtu ataelewa fika kwamba kweli kuna mabadiliko ya kuzingatia kwa kuchukua tahadhali.Kuna Nini huko duniani? Jua la leo limechomoza likiwa Kali sijawahi experience! Chukueni tafadhali
Waja Leo waondoka leoTag location
Basi mmebarikiwa. Mshukuru MunguHuku nilipo hata jua halijaonekana mpaka mda huu naandika
Kuna upepo kiasi na baridi kwa mbali.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Mh! Malaika matofali ya NiniMalaika wa zamu anachoma matofali.
Tuilaumu serikali
Sasa rafiki hizo Pima joto kweli tunazo mitaani? Huku uswazi kweli utapata mapimo? Tunatumia body feelings and compare them with each day and make casual conclusion as long as you are within limitsUngezungumza kwa lugha ya enzi za leo. Badala ya kusema leo jua limewaka sana, ungesema leo joto ni nyuzi fulani ambapo mpaka jana joto lilikuwa nyuzi kadhaa tu. Hapo mtu ataelewa fika kwamba kweli kuna mabadiliko ya kuzingatia kwa kuchukua tahadhali.
Pesa zikia mfukoni temperature inashuka? Basi jitumbukize kwenye tanuru la mkaa na billions mfukoni and you will be spared as long as you have money jokingWatasema utafute pesa, hutaona huo 'ukali'