Mbona jua la leo limechomoza na ukali mkubwa!

Kuna Nini huko duniani? Jua la leo limechomoza likiwa Kali sijawahi experience! Chukueni tafadhali
Ungezungumza kwa lugha ya enzi za leo. Badala ya kusema leo jua limewaka sana, ungesema leo joto ni nyuzi fulani ambapo mpaka jana joto lilikuwa nyuzi kadhaa tu. Hapo mtu ataelewa fika kwamba kweli kuna mabadiliko ya kuzingatia kwa kuchukua tahadhali.
 
Sasa rafiki hizo Pima joto kweli tunazo mitaani? Huku uswazi kweli utapata mapimo? Tunatumia body feelings and compare them with each day and make casual conclusion as long as you are within limits
 
Back
Top Bottom