Elections 2010 Mbona iko hivi?

Masters of chakachuaring,hao ndo ccm kiboko ya ujambazi sio wizi MUNGU WEEEEEEE! Fimbo yako iwachape sisiem kwa haya waliyoyafanya.
 
Sawa ina nukta, lakini nadhani spread sheets au exel zote ukiandika kama ulishasahau kuicommand computer yako kutoandika na decimals itakuwekea .00. Point hapa ni namna figures zilivyo na ujumla wake.
 
Back
Top Bottom