Mbona htupewi taarifa kuhusu imu zitakazoshiriki Olympic?

Pazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
2,946
1,815
Olympic inakaribia Je Hakuna Majipu kwenye timu? je ni nani na nani watatuwakilisha na rekodi zao tuwekewe hapa, Tanzania kwanini tunakuja kuwajua mpaka siku ya mwisho? tuwekewe na tupewe vigezo vyao vya kwenda anayejua tunamuomba atuwekee majina yao na rekodi zao na mafundi wao. sio kila siku unasikia jamaa kapata tumbo la kuhara yupo Shopping.
 
Back
Top Bottom