Kukopa kufadhili bajeti ni jambo la kawaida, ila inashangaza mtu kukopa kujenga reli ambayo faida yake ni baada ya mika 20Mbona huyu anakopa na bado unakamuliwa hata wewe kajamba nani?
Au hujasikia kama zimekopwa tililioni 2 huko?
Kukopa kufadhili bajeti ni jambo la kawaida, ila inashangaza mtu kukopa kujenga reli ambayo faida yake ni baada ya mika 20Mbona huyu anakopa na bado unakamuliwa hata wewe kajamba nani?
Au hujasikia kama zimekopwa tililioni 2 huko?
Nchi kwa sasa inaendeshwa na Mwigulu NchembaHili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je, hakuna chanzo kingine cha mapato.
Alisababisha maumivu makubwa sn kwa watuPlus kupora watu fedha zao kwenye mabenk nashangaa eti alikuwa mwamba wakati alikuwa mwizi sana
Sio kwa mwaka ni kwa mwezi mmojaTunajenga vituo 150 kwa mwaka na 750 by 2025 ,,hii itaendelea hadi 2030 tuwe na vituo takribani 1500 .
Magu alijenga na kukarabati 460 kwa miaka 6 sasa lini tutamaliza vituo 3956 vinavyotakiwa?
Ushahidi unao, wa kituo kipi cha afya?Mikoani vilio vinatawala....hospitali za wilaya, achilia mbali vituo vya afya, wagonjwa wanalazimika kununua vifaa tiba na madawa kwenye maduka binafsi ya madawa. Kuna faida gani kupanua ujenzi wa vituo zaidi wakati vilivyopo havitoi huduma zinazotakiwa?
Acha porojo kituo cha afya hadi kikamilike kuna majengo yasiyopungua saba,hapo Waziri alisema pesa yaajengo 3 imetoka na ndani ya mwezi mmja toka kupokea pesa wawe tayari wameanza kujenga.Sio kwa mwaka ni kwa mwezi mmoja
Acha uongo. Mimi nimewekewa umeme mwaka jana kwa TZS 27,000.00Kuunganishiwa umeme kipindi hicho ilikuwa Tsh. 320,000, lkn sasa ni Tsh. 27,000.
Umesahau ndo Rais aliyekopa zaidi na kuongeza deni la Taifa kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko Rais yeyote kwenye historia ya Tanzania
JPM alikopa mpaka akafika kikomo cha kukopa ndio mzigo aliotuachia 71 trillion za made no.
Mbona huyu anakopa na bado unakamuliwa hata wewe kajamba nani?
Au hujasikia kama zimekopwa tililioni 2 huko?
Mama yenu hata miezi sita haijaisha ameshakopa zaidi ya Trillion 2.Kikomo cha kukopa?
Ile tililioni 2 ambayo mama kakopa juzi ulimkopesha wewe
Hivyo vituo vya afya ni vipi na alete ushahidi, maana kigoma kuna kata ina zahanati moja hamna kitu cha afya hivyo wajawazito wanajifungua kwa zamuNchi kwa sasa inaendeshwa na Mwigulu Nchemba
Una habari mwezi wa 1 magufuli alikopa zaidi ya trillion moja kutoka china na akasaini mkataba akiwa chato kwa ajili ya ujenzi wa reli ya Mwanza isakaMama yenu hata miezi sita haijaisha ameshakopa zaidi ya Trillion 2.
Una risiti?Acha uongo. Mimi nimewekewa umeme mwaka jana kwa TZS 27,000.00
Uongo mtupu alifanya ukarabati pekee kwa vichacheHivyo vituo vya afya ni vipi na alete ushahidi, maana kigoma kuna kata ina zahanati moja hamna kitu cha afya hivyo wajawazito wanajifungua kwa zamu
Sisi wananchi lazima tuchangie maendeleo ya nchi yetu- hivyo tutachoka lini kusimangwa na wazungu na wachina kila wakitupatia misaada. Kutokana na mahela yaliyokusanywa ni wazi kwamba kuna watu wanauwezo wa kulipa hizo tozo . Pesa iliyokusanywa kwa miezi miwili - billioni 60 si mchezo, huku wananchi wakilalamika kuwa hawana uwezo . Kuna pesa nyingi inayo pita kwenye miamala ya simu- kuna biashara kubwa sana mtandaoni, Serikali ilikuwa haipati kitu! Hongera kwa serikali ya Mama kugundua chanzo kipya cha mapato. Awamu ya tano -ilijitahidi kiasi chake - lakini iliacha madeni makubwa kwa wazabuni waliofanya kazi na serikali, wafanya biashara walifunga maduka yao wakilalamikia TRA. Hiki chanzo kipya kitasaidia kujenga nchi hii kikitumika vizuri. Wezi wa wapesa za wananchi wapigwe miaka 30 jela, tuone kama mtu ataziiba.Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je, hakuna chanzo kingine cha mapato.
Jikite kwenye mada? Mbona hayati JPM alijenga bila kukamua wananchi kupitia tozo za miamala ya simu kama ishu ni kujenga vituo vya afya.Sisi wananchi lazima tuchangie maendeleo ya nchi yetu- hivyo tutachoka lini kusimangwa na wazungu na wachina kila wakitupatia misaada. Kutokana na mahela yaliyokusanywa ni wazi kwamba kuna watu wanauwezo wa kulipa hizo tozo . Pesa iliyokusanywa kwa miezi miwili - billioni 60 si mchezo, huku wananchi wakilalamika kuwa hawana uwezo . Kuna pesa nyingi inayo pita kwenye miamala ya simu- kuna biashara kubwa sana mtandaoni, Serikali ilikuwa haipati kitu! Hongera kwa serikali ya Mama kugundua chanzo kipya cha mapato. Awamu ya tano -ilijitahidi kiasi chake - lakini iliacha madeni makubwa kwa wazabuni waliofanya kazi na serikali, wafanya biashara walifunga maduka yao wakilalamikia TRA. Hiki chanzo kipya kitasaidia kujenga nchi hii kikitumika vizuri. Wezi wa wapesa za wananchi wapigwe miaka 30 jela, tuone kama mtu ataziiba.
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je, hakuna chanzo kingine cha mapato.
Kweli kabisa mzee. Nakuunga mkonoYule ni mwamba.
Ingawa nae alifanya unyanganyi kwa kutumia task force.
Ila jamaa ni champion kwa miundombinu. Tena tungempa na hizi tozo aaaa..
In 10 yrs chuma alikuwa anaibadili hii nchi kuwa na miundombinu bora kabisa.
Afya, elimu, barabara na utawala. Apumzike kwa amani.
Tunachangia kwa kodi na sio kwa tozo hizi. Nenda Kenya uone kama kuna tozo mshenzi hiziSisi wananchi lazima tuchangie maendeleo ya nchi yetu- hivyo tutachoka lini kusimangwa na wazungu na wachina kila wakitupatia misaada. Kutokana na mahela yaliyokusanywa ni wazi kwamba kuna watu wanauwezo wa kulipa hizo tozo . Pesa iliyokusanywa kwa miezi miwili - billioni 60 si mchezo, huku wananchi wakilalamika kuwa hawana uwezo . Kuna pesa nyingi inayo pita kwenye miamala ya simu- kuna biashara kubwa sana mtandaoni, Serikali ilikuwa haipati kitu! Hongera kwa serikali ya Mama kugundua chanzo kipya cha mapato. Awamu ya tano -ilijitahidi kiasi chake - lakini iliacha madeni makubwa kwa wazabuni waliofanya kazi na serikali, wafanya biashara walifunga maduka yao wakilalamikia TRA. Hiki chanzo kipya kitasaidia kujenga nchi hii kikitumika vizuri. Wezi wa wapesa za wananchi wapigwe miaka 30 jela, tuone kama mtu ataziiba.
Sasa msimlaumu Magufuli kwa kukopa.Serikali haiwezi kuacha kukopa ila ndio maana wanajitahidi kutumia tozo kugharamia baadhi ya miradi bila kukopa ,ukitegemea kukopa tuu hufiki .
Umeambiwa mwakani kuna watoto zaidi ya 900k wanatakiwa kuanza shule unadhani pesa zinatoka wapi ?
DefinitelyJPM shujaa wa TZ na bara lote la Afrika...yule alikuwa ni Mwamba ...itatuchukua miaka mingi TZ kumpata kiongozi Kama JPM...a true son of TZ...a true son of Africa..