Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

Wanajenga majengo yasiyokuwa na maana,

Kuna majengo mengi(shule za kata)hakuna elimu yeyote wanazalisha uozo.

Kuna majengo mengi ya afya hakuna uduma bora,hakuna madawa.
 
Tunachangia kwa kodi na sio kwa tozo hizi. Nenda Kenya uone kama kuna tozo mshenzi hizi
Tumekuwa tunaiga iga wenzetu kwa miaka mingi. Tumeanzisha chetu - pesa inakusanywa nyingi kwa ajili ya maendeleo. Serikali imesema itapunguza kiasi cha tozo- tusubiri matokeo ya hayo maboresho. Makusanyo ni makubwa sana - billioni 60 inaonyesha si masikini wanao tumia miamala ya simu. Waziri alisema miamala yote ya chini ya Tsh 10,000. Ilisamehewa. Tuipatie serikali muda wakati inaboresha hizo tozo za Uzalendo.
 
Ccm Imepoteana Sana Nao Wamebaki Midomo Wazi
Ndiyo Kusema Tunachanjwa Hatuchanjwi.....Hatuchanjwi
 
Tanzania ni kubwa sana, hivyo vituo alivyojenga mwendazake ni vichache
Vituo vya afya aliyojenga kwa miaka mitano ya Magufuli ilikuwa sawa na vituo vya afya vilivyojengwa chini ya utawala wa Nyerere, Mwinyi, mkapa na kikwete.
 
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?

Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?

Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?

Je, hakuna chanzo kingine cha mapato.
Yule Bush star Jiwe! ndo aliwauza kabisaa! akawapoteza mazima!! yeye alitumia alichopika mwenzake na kukiacha tele! Rais Jakaya kikwete! jiwe akamalizia kabisaa kahela kaliko kuwepo ka akiba!! kafilisi nchi!

kawaminya mambupu wafanyakazi weee!! akalimbikiza hela za kuwaibia wafanya kazi na wafanya biashara wazembe!! au wasio na connection na Mabepari kifupi wasio soma!!

hakuna wafanyakazi kupanda madaraja! hakuna over time tena enzi zake!!
akajenga kwao chato faster km shukrani kwa wapiga kura wake! kaendaaa!! ghafla bin vuuup!! hazina hakuna kitu! akaulizwa na watu wake wa karibu Hazina hakuna kitu mzee sasa?!!! na

wananchi kma unavoona dhoofu hali, huku wafadhili umewakashfu eti mnajiweza, hutaki kuemea, wala kuwa iembelea wametununia! sasa itakuwaje bana Rais??? heee! si kaamua kufa! eti kasingizia ana Atrial fibrillation!! Shabash!

hata Mungu tu alikuwa hawasiliani nae vizuri, kwa nini asivute yule kafa Pressure ya kufilisi Hazina ya nchi, kakimbia kijanja kamuachia mama!
 
Vituo vya afya aliyojenga kwa miaka mitano ya Magufuli ilikuwa sawa na vituo vya afya vilivyojengwa chini ya utawala wa Nyerere, Mwinyi, mkapa na kikwete.
Akili zako na zake mko sawa, Vituo majengo bila watenda kazi wala vitendea kazi ni bure wala siyo vituo vya afya hivyo! Majengo tu, waweza kuita flame za Maduka tu!!

sikia wale walio pita walikuwa wanajenga sambamaba na uhitaji, na ukubwa wa kijiji au mji, Rasilimali watu! wataalamu, vifaa! Madawa, vitendea kazi km Ambulance! miundo mbinu safi, inayopitika faster!! yaani kituo i kituo hasa!! sasa huyu Bush star yeye, kelele tuu!!

alijenga vituo majengo sawa, nyumba za wafanyakazi je! barabara, Usalama wa mali zilizopo je! alikuwa anatamka tu km chizi!! na machizi wenzake mnameza tu! futa huu uzi wako hauna maana ya uelewa!
 
Jikite kwenye mada? Mbona hayati JPM alijenga bila kukamua wananchi kupitia tozo za miamala ya simu kama ishu ni kujenga vituo vya afya.
Aliwakamua wakina Mbowe. Manji. Mashirika ya Umma.. wakina TANESCO. NMB. TTCL STIMICO. POSTA. TRL. ATCL. MAKOSA YA BARABARANI. SUMAJKT. TPDF. nk. Ole wao wenyeviti wa bodi mbalimbali. Na bado aliwabana wawekezaji. Acacia na milion 300 dollar. Akiwacha kitu.
 
Back
Top Bottom