Mbona hatujivunii hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona hatujivunii hawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fundi Mchundo, Apr 7, 2008.

 1. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Katika nchi tuliyokuwa na upungufu wa role models ni vizuri kusoma kuwa bado kuna wazaliwa wa nchi yetu hawajakata tamaa na wanajaribu kuleta tofauti katika maisha ya muafrika. Mzungu, ndio, lakini ni muafrika kamili!
   
 2. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2008
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Nabii hathaminiwi kwao? "Katika miaka ya hivi karibuni, tumejenga tabia ya self criticism kiasi kwamba tumesahau kuwa kuna mazuri pia tuliyonayo ambayo tunastahili kuyathamini" alisema Prof. Palamagambo Kabudi, juma lililopita.
   
 3. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nataka waseme "Waafrika Ndivyo Tulivyo" na hapa pia.
   
Loading...