Mbona Ethics Classes Hazifundishwi ktk Vyuo Vya Kikiristo TZ?

Mr.Right

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
408
69
Nimejaribu kufanya utafiti ktk vyuo vingi vya Kikiristo TZ, na nimegundua kwamba Wanafunzi ktk shule hizo hawafundishwi Ethics ktk Business courses and Ethics in Leadership.

Hili ni tatizo kubwa kwa Taifa hasa ukizingatia nchi yetu ina Mafisadi na Wala Rushwa wengi.

Swali, kwa nini Ethics Classes hazifundishwi ktk hivi vyuo?
 
Wewe si mzima, wakupime! Ulikuja na topic ya Tumaini kuwa chuo cha kikatoliki, ukapewa za uso sasa umeu-edit utumbo kwako na kuurudisha! Hujui unalolisema.
Hujui nani ni mkatoliki halafu anajipa uwezo wa kujenga "hoja" za ukatoliki na ukristo. Ni kama kusema mtu ni mwenyeji wa Arusha lakini hapajui cloak tower
 
ethics kama za uongozi zinapaswa kufundishwa home na wazazi wa mtoto au watoto na si shule au chuo. Bila kutoka na elimu hiyo nyumbani huwezi ipata popote hata kama wangejitahidi kukufundisha. Samaki mkunje angali mbichi. Ndiyo maana sasa hivi unaona vurugu kila mahali. Boarding school anzia darasa la 1. Unategemea kitu gani?
 
Aliyevumbua dini amewapatia kweli..licha ya kuishi miaka zaidi ya 1000 iliyopita mapangoni na kutawadha kwa kutumia mawe
 
Hata hao walioleta hizo dini walikuwa na bado wanatawadha kwa kutumia mchanga wa Jangwani.
 
ethics kama za uongozi zinapaswa kufundishwa home na wazazi wa mtoto au watoto na si shule au chuo. Bila kutoka na elimu hiyo nyumbani huwezi ipata popote hata kama wangejitahidi kukufundisha. Samaki mkunje angali mbichi. Ndiyo maana sasa hivi unaona vurugu kila mahali. Boarding school anzia darasa la 1. Unategemea kitu gani?

Ethics nyingi ambazo mtoto anafundishwa ni zile za kuamkia, kumpisha mtu mzima kukaa kwenye kiti. Lakini, ktk elimu ya juu kunakuwa na tamaa fulani ya power, money nk. Hizi power ndizo kubwa zinazofanya viongozi wetu kutofuata muelekeo halisi wa jamii ktk kusaidia wale wasiokuwa na pesa, elimu, malazi, nk.

Ethics ktk Elimu ya Juu inatakiwa ipatiwe ufumbuzi mkubwa sana nchini kwetu, other wise, Rushwa na Ufisadi zitakuwa Cancer ya milele- generation to generation.
 
hiyo wataenda kujifunzia madrasa. Wakitoka vyuo vya kikatoliki wataenda pata short course ya ethic madrasa.
 
Tumaini University wanafundisha business ethics, usiwe wakurupika kupost vitu ili kuonekana nawe umepost
 
lol! kweli ww mr right! msalimie mrs right kama yupo,kama hayupo u will wait for a long, i mean LONG time b4 u pitch!
 
Nilisoma St Augustine University pale Mwanza, tulisoma Social Ethics na business ethics, sasa ndugu sijui ni ethics zipi unazotaka wewe.
 
Huyu anataka kusikia islamic studies kwake ndio ethics,unazijua ethics za madrasa matokeo yake ni kujilipua,Lack of reasoning!
 
RUCO a.k.a Ruaha Universty pale Iringa wana somo lnajtegemea linaitwa SOCIAL ETHICS na ni kwa degree Programe zoooote..wakati huo alikuwa akfndisha DR JEREMIAH MUHUME(My biology teacher at Mafinga Seminary)...fanya utafiti usije kchwakichwa kima wewe
 
Nimejaribu kufanya utafiti ktk vyuo vingi vya Kikiristo TZ, na nimegundua kwamba Wanafunzi ktk shule hizo hawafundishwi Ethics ktk Business courses and Ethics in Leadership.

Hili ni tatizo kubwa kwa Taifa hasa ukizingatia nchi yetu ina Mafisadi na Wala Rushwa wengi.

Swali, kwa nini Ethics Classes hazifundishwi ktk hivi vyuo?

Kwanini ume-target vyuo vya kikristo tu? Unamaanisha ndivyo vinavyozalisha MAFISADI au? Hata some public varsities hawana hizo programmes, baadhi km MU ndo hilo somo limeanza fundishwa......
 
Nimejaribu kufanya utafiti ktk vyuo vingi vya Kikiristo TZ, na nimegundua kwamba Wanafunzi ktk shule hizo hawafundishwi Ethics ktk Business courses and Ethics in Leadership.

Hili ni tatizo kubwa kwa Taifa hasa ukizingatia nchi yetu ina Mafisadi na Wala Rushwa wengi.

Swali, kwa nini Ethics Classes hazifundishwi ktk hivi vyuo?

Wanazo 'amri kumi za mungu'- the mother of all ethics, na hizi huwa zinafundishwa kuanzia umri mdogo sana i.e 6yrs of age hadi eternity. Hata hivyo, ningeshukuru kama ungetuza ni shule za dini gani ingine uliyofanya utafiti na kama wanafundisha Ethics ktk Business course and Ethics in Leadership.
 
hiyo wataenda kujifunzia madrasa. Wakitoka vyuo vya kikatoliki wataenda pata short course ya ethic madrasa.
kwani ethics ina connection yoyote na majambia?? coz madrasa ni mazoezi ya kutumia swords kwa ajili ya maandalizi ya jihad.
 
RUCO a.k.a Ruaha Universty pale Iringa wana somo lnajtegemea linaitwa SOCIAL ETHICS na ni kwa degree Programe zoooote..wakati huo alikuwa akfndisha DR JEREMIAH MUHUME(My biology teacher at Mafinga Seminary)...fanya utafiti usije kchwakichwa kima wewe
Sir Muhume kafunda vijana wengi pale, aliwahi kufundisha tofauti kati ya truth and reality.
 
ethics kama za uongozi zinapaswa kufundishwa home na wazazi wa mtoto au watoto na si shule au chuo. Bila kutoka na elimu hiyo nyumbani huwezi ipata popote hata kama wangejitahidi kukufundisha. Samaki mkunje angali mbichi. Ndiyo maana sasa hivi unaona vurugu kila mahali. Boarding school anzia darasa la 1. Unategemea kitu gani?
wewe ulifundishwa kwenu?
hemu tumegee kidogo.

Naona kama tunakimbilia kumponda huyu jamaa kwa haraka sana.
Jamaa anaweza akawa na point (ipo) ila anaipresent vibaya.

Kabla sijamtetea, anaweza akatutajia vyuo ambavyo si vya kikatoriki
na vinafundisha hizo ethics anazozisema yeye? atupe na course details.
 
<span style="font-family: fixedsys">Sir Muhume kafunda vijana wengi pale, aliwahi kufundisha tofauti kati ya truth and reality.</span>
<br />
<br />
Good and lucky of u!he was a gud instructor..bt bad eneough he has ran mentor..he is just around Cathedral looking 4 the last
 
Back
Top Bottom