Mbona CHADEMA hawana wabunge wahindi au wasomali?

Je na wahindi maskini walioko bongo na wao hawafai? Matajiri mnasema ni fisadi je na hao malofa kama nyie?
 
... Hawa wahindi wanaorudi "kwao" wakati wa uchaguzi? Wapo radhi kuhatarisha biashara zao na za ndugu zao kwa ajili ya chadema? Labda siku moja watajitokeza, sina wasiwasi na hili maana hakuna sera ya kuwabagua wahindi chadema.
 
hivi ni kwanini hakuna waziri hata mmoja mhindi au mwarabu pamoja na kuwa na wabunge wenye asili hiyo? Au ni kwanini hakuna polisi mhindi, kuna nini katika haya? Mamlaka ya uteuzi ina ubaguzi...


umezaliwa mwaka gani?
 
ulishaona wapi ng'ombe azae punda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?

Mbona CCM haina WABUNGE Wakizungu na Wakichina?
 
Back
Top Bottom