Mbona CHADEMA hawana wabunge wahindi au wasomali?

Shida wahindi wengi ni wafanya biashara wakubwa,na wanapenda CCM kwani inawafichia madudu yao.
 
  • si unawaona wabunge wa CCM wenye asili ya Somali na wahindi
  • WANABEBA NA BASTOLA hadharani
  • WANAJISAHAU wanadhani wako SOMALIA
 
Kwan ata walemavu wa ngozi (zeruzeru) hakuna kama CUF ( lindi mjin) NA CCM (sengerema)........

V
SENGEREMA
 
Wahindi wanaongoza kwa kutoa rushwa tanzania kama sio dunian, na kwasasbabu nchi yetu ni corrupt ndiomaana wameshika uchumi wa nchi bila faida kwa watanzania isipokua kwa mafisadi wanao hongwa, infact unaweza hongwa hele na muhind mpaka ukasahau mlango wa kutokea, CDM inapinga corrupt hivyo mhind na msomali hawawezi kaa kwa amani, that is answer of your question.
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?
 
Rudi Kalale, bado unaota wewe..:sleepy:
 
Wahindi hawahawa wanao temea mate ndugu zetu na kuwa nyanyasa kariakoo? Au kuna wengine?
Ni wasomalia hawahawa wa aina ya Rage au kuna wengine?
 
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?
Yule mdhamini wa Chadema kutoka Kigoma Hassanali unamfahamu wewe? Halafu wanasema Chadema ni ya Wachaga mbona wewe upo CCM? Inaelekea wewe unawajua wanachama na viongozi wote wa Chadema.
 
Dah, Wasomali siyoo....

3.jpg
rage270308.JPG
5.jpg

mleta mada anajua athari ya madai yake?
 
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?

Hivi ni kwanini hakuna waziri hata mmoja mhindi au mwarabu pamoja na kuwa na wabunge wenye asili hiyo? au ni kwanini hakuna polisi mhindi, kuna nini katika haya? Mamlaka ya uteuzi ina ubaguzi...
 
ila muarabu ana uzalendo kuliko msomali na mhindi cos alikua mtwana na sie mtumwa wake .acheni ubaguzi
 
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?

Hilo swali nami nimejiuliza sana, lakini si kwa UFINYU kama wa kwako. Mie nimejiuliza ni kwa nini sioni Wahindi, Wasomali katika vyombo vyetu vya dola? je wabarbaig, wasandawe nk wako wangapi jeshini, polisi, usalama wa wana-magamba?
 
Kusoma historia kuna faida yake! We hujui kilichofanya waarabu na hata wahindi waje Tanzania?!! Biashara, tena ya (hasa) ya Utumwa! Kwa hiyo waliopo hadi leo bado wako na element hizo na ndo maana wanajificha ccm ili wafanye biashara zao chafu "(utumwa)" smoothly. Chadema hakuna hizo!

Natamani JF idumu na watz wajiunge kwa wingi wasikalie ushabiki nje'waingie hapa waone akili za wa cdm zilivyo ndio watajua wanachoshabikia ni chama aina gani
 
kuna yule jamaa aliekuwa Mpinzani wa Kafulila kule kigoma kusini ambae alikuwa anaiwakilisha chadema Mbona MUHINDI
 
Wahindi, wasomali, waarabu hawawezi kuwepo CHADEMA sababu hiki siyo chama cha MAFISADI SIYO CHAMA CHA MAJAMBAZI, SIYO CHAMA CHA WEZI, NA SIYO NCHAMA CHA MATAJIRI.

Hiki ni chama cha Watanzania, na ukiwa na sifa zisizo faa unatolewa..

Hao wahindi wako huko CCM sababu wanajuwa wataiba nk, nk, nk, kumbuka wahindi wengi ni wafanya biashara, huko CCM watafnya mambo yao kwa urahisi zaidi = kuwaibia watanzania walio wengi..wahindi wengi HAWALIPI KODI TRA INAVYOTAKIWA, WANAPIGANIWA NA CCM WASILIPE KODI nk, nk, nk..

Usipende kuongea kwa jumla'kuna wahindi ambao ni wazalendo kuliko sisi wazawa'mfano Prof Issa shivji'unadhani akisoma uzi kama huu wa kibaguzi anajihisi vp mtu ambae anaipenda nchi yake na anajivunia kuwa mtanzania'punguzeni ubaguzi cdm
 
Back
Top Bottom