Mbona CHADEMA hawana wabunge wahindi au wasomali?

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,002
2,536
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?
 
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raiya wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa cdm mwenye asili ya kihindi au msomali.Je ni makusudi ya cdm au imetokea kwa bahati mbaya.?

Kama wakina Rostamu na .......?
Kule kuna watanzania wenye kuijua nchi yao.
 
kwa sababu haipo kwenye katiba kuwa lazima chama cha siasa kiwe na wasomali au wahindi
 
mgombea-wa-kigoma-kusini-muslim-hassanali.jpg mgombea-wa-kigoma-kusini-muslim-hassanali.jpg mamii angalia hii!
 
Wewe umeona wapi mhindi anakaa Tandika, Gongo La mboto, Kimara au Chanika? hao wanajua palipo na usalama kwao.Subiri 2015 utawakuta M4C LIVE bila chenga.
 
CUF ina wabunge wawili tuu Tz hata

Mbona hauulizi ... na nccr-mageuko na TLP .... je UDP ?

acha uzandiki wa kijinga wewe makubwa... ninamheshimu sana Dr. Makupa pale shanty town moshi ... sidhani kama kuna uhusiano ... yeye hypocrites makini
 
wasomali na wahindi ni wezi sana haoa hawawezi kukihama chama tawala .. Wakiondoka tu huko watafungwa fungwa wote hao
mi naona wizi wakubwa ni wazawa wenyewe, huyo mhindi aliingia akavunja benki kuu akaiba? Au alienda wizara akaiba? Wizi ni sisi wenyewe bana. Wahindi hawaendi CDM kwasababu wanajua ni chama cha kibaguzi na pia wameona CDM haina maendeleo.
 
Wewe umeona wapi mhindi anakaa Tandika, Gongo La mboto, Kimara au Chanika? hao wanajua palipo na usalama kwao.Subiri 2015 utawakuta M4C LIVE bila chenga.
muhindi hafati chama wewe, chama kinamfata muhindi. Au huoni viongozi wenu wanavyo vizia pale upanga kwa sabado.
 
Sasa mbona umesahau kama SEBODO ambae ni mwarabu na ndio mtoaji maarufu wa mchango kwa CDM
 
chadema ni ya watanzania sio ya wahdi wala wasomali.unataka kuleta ubaguzi hapa wa rangi.mwalimu alikataza.
 
Ccm itawafungia biashara zao,pia cdm ni sehemu kujitoa zaidi.mbona ujauliza jeshini,polisi na shule za kataa?
 
Mi ni kati ya watu nisiokubali jamii zetu zitawaliwe na hawa raia wenye asili hiyo, mana bado siamini kama wanaUZALENDO na kama wanaweza kutetea maslahi ya sis wabantu???? Wapeni uanachama tu, msiwape uongozi, may badae sana!!!
 
Back
Top Bottom