assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
hii imekaaje? uzalendo wetu kwa mandela umekaaje?
Kwa hiyo chadema ndio Tanzania.
tunapaswa kuonyesha sympathy kipindi hiki kigumu kwa dunia
wewe dini gan mbn una roho ngumu ivosympathy ya kinafiki tu, kabla hajafa (anaumwa) hiyo sympath haikuwepo?
mbona vyama vingine bendera zake ziko nusu mlingoti kwa nini chadema hawataki.
tunapaswa kuonyesha sympathy kipindi hiki kigumu kwa dunia
Mkuu hawa jamaa hawajui tofauti kati ya dola na chama. Hii habari imeanzishwa na Ridhiwani kwenye FB wall yake mpaka nikashangaa hivi huyu kasoma kweli?Kwa hiyo chadema ndio Tanzania
mkuu hawa jamaa hawajui tofauti kati ya dola na chama. Hii habari imeanzishwa na ridhiwani kwenye fb wall yake mpaka nikashangaa hivi huyu kasoma kweli?
Au kasoma ila hajaelimika? Kwanza wengine tunadhani hata kama hukusoma lakini mungu akakupa bahati kuzaliwa katika familia kama yake utaelimika tuu kama unashughulisha akili yako na mazingira yaliyokuzunguka.
Nimejiuliza au ni akili za kurithi,maana kushindwa kutofautisha hilo ni jambo ambalo liko level ya primary school
nafikiri umeshau tanzania ni siku tano
chadema hasa slaa hajali haya mambo yeye anajari mambo mengine yanayomhusu yeye na chama chake ndiyo maana hata mkutano wa amani arusha walisusia unategemea nini.
Kweli akili ndogo vs akili kubwa by dk bana
tunapaswa kuonyesha sympathy kipindi hiki kigumu kwa dunia
wewe dini gan mbn una roho ngumu ivo
Hapana ni taifa la kaskazini kwa mujibu Joshua Nassari.Kwa hiyo chadema ndio Tanzania.