Mbona bendera ya CHADEMA sio nusu mlingoti mikutano ya Dkt Slaa?

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
1459875_562079257201118_145891590_n.jpg
1457458_562079293867781_1310678335_n.jpg


hii imekaaje? uzalendo wetu kwa mandela umekaaje?
 
chadema hasa slaa hajali haya mambo yeye anajari mambo mengine yanayomhusu yeye na chama chake ndiyo maana hata mkutano wa amani arusha walisusia unategemea nini.
 
Kwa hiyo chadema ndio Tanzania
Mkuu hawa jamaa hawajui tofauti kati ya dola na chama. Hii habari imeanzishwa na Ridhiwani kwenye FB wall yake mpaka nikashangaa hivi huyu kasoma kweli?

Au kasoma ila hajaelimika? Kwanza wengine tunadhani hata kama hukusoma lakini Mungu akakupa bahati kuzaliwa katika familia kama yake utaelimika tuu kama unashughulisha akili yako na mazingira yaliyokuzunguka.

Nimejiuliza au ni akili za kurithi,maana kushindwa kutofautisha hilo ni jambo ambalo liko level ya Primary school
 
Kweli akili ndogo vs akili kubwa by dk bana
mkuu hawa jamaa hawajui tofauti kati ya dola na chama. Hii habari imeanzishwa na ridhiwani kwenye fb wall yake mpaka nikashangaa hivi huyu kasoma kweli?

Au kasoma ila hajaelimika? Kwanza wengine tunadhani hata kama hukusoma lakini mungu akakupa bahati kuzaliwa katika familia kama yake utaelimika tuu kama unashughulisha akili yako na mazingira yaliyokuzunguka.

Nimejiuliza au ni akili za kurithi,maana kushindwa kutofautisha hilo ni jambo ambalo liko level ya primary school
 
nafikiri umeshau tanzania ni siku tano

nani katangaza siku tano? mijitu kama hii ni kuipiga ban humu. rais ametangaza siku tatu na zimeshaisha kama ccm bado mnapeperusha nusu chuma, labda msiba mwingine, tena mtuambie wa nani.
 
chadema hasa slaa hajali haya mambo yeye anajari mambo mengine yanayomhusu yeye na chama chake ndiyo maana hata mkutano wa amani arusha walisusia unategemea nini.

anajali ruzuku ya kibunge anayopata
anajali zito afukuzwe
anajali awe raisi hata kama anakanyaga damu za watz ilimradi afike magogoni
anajali mshumbusi afuje hela za chama kwa ziara zisizotambulika kikatiba
hajali kingine u get it
 
Kweli akili ndogo vs akili kubwa by dk bana

Uko sahihi kabisa. Maana kama wewe unam quote Ridhiwani bila kujua kuwa yeye kaandika ujinga basi umeweka wazi akili yako kuwa iko kundi gani. Good morning Assadsyria na kwaheri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom