Mbona akiwa mbalamwezini huanzisha mazogo?

ruta mie mtu mzima ninajua ninachokizungumza. si unajua ni kama ufagio wa zamani? unajua kona zooote za nyumba..

muhanga kama wewe ni fagio la zamani basi halina ushindani .................lakini khalakhala akiwa mbalamwezini mwache naye apumue kidogo ahitaji mapumziko.....lol
 
Last edited by a moderator:
kutokujiamini ni tatizo kubwa, wengi wanafanya hayo kama njia ya kujihami wakiwa sababu kubwa ni hiyo ya kutokujiamini

muhanga umenena hapo ndipo kifaduro hujitokeza......na mashaka mashaka ndiyo humaliza gogo..........
 
Last edited by a moderator:
BAK wakiwa mbalamwezini hata hao hubidi kutulia kama vile kuku ananyolewa kwa wembe............

Hehehe ngoja ukutane nao hakuna kutulia...utatulia vipi saa zote wanataka kukumbatiwa na kupigwa mabusu!?...ukileta za kuleta utaambiwa...."Wewe siku hizi hunipendi kama zamani." Inaweza kabisa kula kwako.


 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma
inapokutokea wewe mtu mnashakubaliana
then unamkuta hivyo, huwa unafanyaga je,
usinidanganye.
 
lolest ruta, hii huja kwa design tofauti, na kila mtu na yake! kama mimi nikikaribia ni signs za pregnancy kabisa! vomiting, no eating kwa baadhi ya vyakula, kudeka etc, lakini ikikata tu, ni yuleyule cacico!
 
Back
Top Bottom