Mbona akiwa mbalamwezini huanzisha mazogo?

Heheheheheeeeeee..me hoi kha!we ruta wewe!

Purple............................hata mie ninakugwaya japo hujaniwekea avatar nikufaidi vizuri zaidi.......................LOL
 
Last edited by a moderator:
i wish to see you physically........... not electronically like now

gfsonwin...........ukiniona hutaamini utafikiri nimesingiziwa yaani sinamwelekeo na haya ninayoyaandika......................hata mie nikisoma huwa ninajishangaa hivi huyu ni mie kweli.............what is going on in my head to think of this things.........................what a fertile imagination, I have................
 
Last edited by a moderator:
RUTA mbavu sina ,zimekatika kwa kucheka, yaan inategemea wengine inakuwa ugonjwa taabani,kitanda unaona ndio starehe yako hahahaaa

wahida kucheka cheka lakini je nimepatia au ninawaonea?
 
Last edited by a moderator:
ntajitahidi lakini siunajua tena labda unipende kwa sanaa na zawadi zakumwana na unidekeze basi aaaaaaaa wala huti hisi hayo...

promiseme.......weka avatar basi niweze kuongea kitu fulani hivi.......................kinachokuhusu wewe personally kwa kupitia fasihi simulizi..............................hutaamini mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin...........ukiniona hutaamini utafikiri nimesingiziwa yaani sinamwelekeo na haya ninayoyaandika......................hata mie nikisoma huwa ninajishangaa hivi huyu ni mie kweli.............what is going on in my head to think of this things.........................what a fertile imagination, I have................

I log to see you Rata kama upo hapa DSM nitakuona na hata kama ni mkoani nitajitahd manake sipati picha huwa akili yako ina umbo gani.
 
Aise we jamaa una kipaji. Hii issue ipo sana kwa wengi wao,yaani unakuta mtu anakuwa na hasira hasira tu muda wote.Lakini ukishamuelewa inabidi ujitahidi kuepusha namna yoyote ile inayoweza kupelekea migongano.
 
Ta ruta kwa mashairi!!. I salute you. nishakutumia form ya kakau bandmbona hujaijaza?

zimwimtu mie.....................sina muda wa kujiunga na bendi burudani yangu ni kukufurahisha humu jamvini tu.........wapelekee hizi tenzi wazitumie bila ya zengwe..........
 
Last edited by a moderator:
Aise we jamaa una kipaji. Hii issue ipo sana kwa wengi wao,yaani unakuta mtu anakuwa na hasira hasira tu muda wote.Lakini ukishamuelewa inabidi ujitahidi kuepusha namna yoyote ile inayoweza kupelekea migongano.

Rogi hawa ni watu wetu yabidi twende nao polepole tu.............
 
Last edited by a moderator:
I log to see you Rata kama upo hapa DSM nitakuona na hata kama ni mkoani nitajitahd manake sipati picha huwa akili yako ina umbo gani.

gfsonwin...............kupitia haya matenzi ya mahaba tayari umekwisha kuniona.................ukiniona zaidi ya hapo yaani hutayafurahia utafikiri kuna mtu huwa ananiandikia............................yaani hat sielekei vile...........
 
Last edited by a moderator:
Haahaa! Ukitaka kutoka nje ya nyumba sauti inapanda unaenda wapi si unatakiwa uwe umelala....utafikiri mko shule ya msingi,lol

Ndahani..........lengo ni kukupeleleza maana ana wasiwasi pengine una mpango wa kando na hivyo unajaribu kumkwepa .....LOL
 
Last edited by a moderator:
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom