Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,695
- 172,640
Sio uoga. Ni hali ya usalama wetu ndio tunaozingatia. Ukiniambia mie kuandamana kwangu sio ishu nina guts ila nikifikiria kuwa kuna nguvu kubwa sana itatumika dhidi yangu ikiwa inaweza kuondoa hata uhai wangu inakuwa meaningless. Siwezi andamana kama nitapigwa risasi nife na familia yangu ibaki ikiteseka. Siwezi andamana!!!Zaid ya hapo uwoga wa wananchi wenyewe. Atleast wenzetu wanadhubutu kuandamana. Sisi huku jaribu tu kidogo . Inakuwa vita
Unafikiria hata hao US wangejengwa kisaikolojia kwamba wakiandamana kuna kufa kuna mtu angetoa pua nje hata? Ni saikolojia kwa wenzetu wana hofu na katiba na wanajali haki za binaadamu. Hawana mambo ya kijinga kama Afrika.