Mbona ada za College of african wildlife management, Mweka - Moshi ni kubwa sana

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,364
73,955
Mwenye uelewa anisaidie jamani. Mbona ada zao kubwa tofauti kabisa na vyuo vingine vya diplomas?

S/N

Program Name

Program Duration (Yrs)

Tuition Fees

1.

BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN WILDLIFE MANAGEMENT

1

Local Fee: TSH. 3,598,000/= ,
Foreigner Fee: USD 5,465/= \

2.

BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN WILDLIFE TOURISM

1

Local Fee: TSH. 3,598,000/= ,
Foreigner Fee: USD 5,465/=

3.

TECHNICIAN CERTIFICATE IN WILDLIFE MANAGEMENT

1

Local Fee: TSH. 3,798,000/= ,
Foreigner Fee: USD 5,765/=

4.

TECHNICIAN CERTIFICATE IN WILDLIFE TOURISM

1

Local Fee: TSH. 3,848,000/= ,
Foreigner Fee: USD 5,788/=

5.

ORDINARY DIPLOMA IN WILDLIFE MANAGEMENT

1

Local Fee: TSH. 4,208,000/= ,
Foreigner Fee: USD 6,123/=

6.

ORDINARY DIPLOMA IN WILDLIFE TOURISM MANAGEMENT

1

Local Fee: TSH. 4,208,000/= ,
Foreigner Fe
 
Hicho Chuo kina ada kubwa sana, na pia wapata sana wanafunzi kutoka nje ya nchi nafikiri ndio maana wanaweka ada kubwa kubwa
 
Hicho Chuo kina ada kubwa sana, na pia wapata sana wanafunzi kutoka nje ya nchi nafikiri ndio maana wanaweka ada kubwa kubwa
Zamani walikuwa na sifa sana , majivuno etc kilikuwa pekee africa??? Not today! Kinachofundishwa cha zaidi ni nini kuliko hata medicine, engineering, actuarial science, Law etc, etc, etc! mpaka ada iwe kubwa hivyo!
 
Hiko chuo kinalipa mkuu, ngazi ya cheti tu unatoka na ajira mkononi..
Tumia pesa upate pesa
 
I
Zamani walikuwa na sifa sana , majivuno etc kilikuwa pekee africa??? Not today! Kinachofundishwa cha zaidi ni nini kuliko hata medicine, engineering, actuarial science, Law etc, etc, etc! mpaka ada iwe kubwa hivyo!
It is the one of the trusted university in Africa, once you accomplish your studies u will be directed to the job and it's bachelor students are easy accepted in UK and USA for master studies
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom