Nipo mbinga. Mbolea zinapatikana wilayani tu kwa wakala mmoja. Ni taabu tupu kuzipata.
Nina siku tatu naunguza nauli nakutana na foleni ya waliojiandikisha toka mwezi ulopita.
Tumerudi zama za kupanga foleni kupata sabuni duka la kijiji. Rushwa ni elfu 2 kwa kila mfuko wa mbolea. Mwenye maji ya kunywa anapata chap anatembea.
Mkulima wa bustani na anahitaji kilo 50 tu za mbolea hawez kuzipata.
Hakuna anayeshtuka. Kwa hili la mbolea watu wanakula zaidi ya urefu wa kamba.
Nakutana na jirani yangu amepiga kambi wiki 3 na hajaambulia chochote. Mboleaaaaaaa, mboleaaaa, mboleaaaaaaaaa.
TUAMBIE HALI IPOJE KWENU.