Mbolea ipi ni nzuri kwa kupandia mahindi DAP vs NPK

25000 sample moja
Okee wanasema kwene shamba lako inatatiwa kuchukua sample za udongo ktk sehemu tofauti tofauti ko inamaana kama vitakua vipaseli vitano hapo itahitajika 125k sindio.
 
hivo vipaseli tofauti ndiyo unavichanganya, unapata sample moja. Kuna utaalamu wakufanya hivyo kama unahitaji maelezo nitakupa.
 
Tumia DAP Baadae utatumia NPK Kukuzia. Wakati wa kupanda tunahitaji mbolea yenye virutubisho vingi vya phosphorus kwaajir ya kuimarisha mizizi. Hivyo katika kila mbolea kuna fertilizer percentage ipo kwa kila kirutubisho nikimaanisha phosphorus, potassium na nitrogeni. Hivyo kwasasa angalia hiyo mbolea yako ukienda dukani uchukue yenye asilimia kubwa ya phosphorus.
Hiyo ni blank recommendation,hizo mbolea unaziweka kwa kuzingatia vigezo gani?. Halafu NPK na DAP ni Basal dressing fertilizers Sasa Kwanini akuzie NPK?.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mbolea ya kupandia
DAP maana Ina phosphorus ambaya kazi yake ni kupromote root enlargement (kuchochea ukuaji wa Mizizi) ambalo ndiyo lengo hasa la mbolea ya kupandia
Tumia Urea, SA au NPK wakati wa kukuzia
 
DAP ni ya kupandia, NPK ya kukuzia. kwenye NPK nitrogen ni specifically kwa kuboresha ukuaji wa majani hizo phosphorus na kalium zote zinahitajika kwenye kusaidia mimea iote vizuri from seeds to seedlings
 
Hiyo ni blank recommendation,hizo mbolea unaziweka kwa kuzingatia vigezo gani?. Halafu NPK na DAP ni Basal dressing fertilizers Sasa Kwanini akuzie NPK?.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
NPK ni complete fertilizer hivyo basi ina virutubisho vyote NITROGEN, PHOSPHORUS and POTASSIUM. Basi kwa vigezo hivyo anaweza kuitumia kwa namna yoyote ilimradi kuzingatia asilimia za mbolea husika.
 
Kwene kupanda viazi mviringo tunachanganya DAP+CAN hii formula nimekuta wenyeji wanaitumia nami nikaendelea nayo tu.
Hebu watalamu niambieni kama kuna ulazima wakuchanganya huo mchanganyiko ama naweza kupandia DAP pekee
 
hakuna shida ila ni matumizi mabaya ya rasilimali
 
Okee wanasema kwene shamba lako inatatiwa kuchukua sample za udongo ktk sehemu tofauti tofauti ko inamaana kama vitakua vipaseli vitano hapo itahitajika 125k sindio.
hapana hivyo vipaseli kwa pamoja univichanganya unapata kilo moja then inapimwa sample moja. Ila kuna maeneo kwenye shamba wakati wa kuchukua sample yako hutakiwi kuchukua sehemu hizo, kama sehemu iliyowekwa mbolea ya ngome(ililundikwa kwa ajil ya kusambaza shambani), sehemu iliyochomwa moto na bondeni katika shamba.
 
Shukrani sana mkuu ..
Je unaweza kunisaidia niwapi naweza kupata huduna hiyo yakupima udongo kwa Nyanda za juu kusini hususani Mbeya
 
Back
Top Bottom