Mbolea ipi ni nzuri kwa kupandia mahindi DAP vs NPK

Inategemea hali ya udongo shambani kwako. Usitumie mbolea bila kupima udongo. Ni hayo tu!
 
Tumia DAP Baadae utatumia NPK Kukuzia. Wakati wa kupanda tunahitaji mbolea yenye virutubisho vingi vya phosphorus kwaajir ya kuimarisha mizizi. Hivyo katika kila mbolea kuna fertilizer percentage ipo kwa kila kirutubisho nikimaanisha phosphorus, potassium na nitrogeni. Hivyo kwasasa angalia hiyo mbolea yako ukienda dukani uchukue yenye asilimia kubwa ya phosphorus.
 
Ahsante
 
NPK aina ya Yara Otesha inafanya vizuri sana. Muhimu weka mbolea yako siku 7 baada ya mahindi kuota. Usipande na mbolea moja kwa moja,kwani inasababisha "wastage" ya mbolea kwa kubebwa na maji au ikitokea upunguvu wa mvua mbegu zinaweza kuungua.
 
Hii si sawa unapofanya kilimo cha kisasa lazima upande kwa mbolea na kukuzia kwa mbolea. Labda hujui matumizi ya hizo mbolea ni yapi?
 
Ingawa matumizi ya mbolea bila kupalilia kwa wakati hupunguza tija katika uzalishaji. Matumizi ya mbolea uenda sambamba na palizi. Kwa kuchelewa kupalilia kwa wakati vile virutubisho vyote ulivyoweka shambani vitanyonywa na magugu pia hivyo kupelekea mimea yako kukosa virutubisho vya kutosha. Magugu yanatabia ya kushindana na mimea au mazao katika utafutaji wa rasilimali mwanaga wa jua, maji na virutubisho. Na tafiti zilizofanyika zimeonyesha magugu kuwa na uwezo wa ziada katika ushindani huo. Hivyo mara nyingi magugu hutumia zaidi hizo rasilimali maji mwanga na virutubisho huku mazao yako yakiachwa yamedumaa kwa kukosa rasilamali tajwa hapo juu. Na kitaalamu kuna wakati sahihi wa kufanya palizi kitaalamu tunaita critical period of weed competition. Huu ni wakati ambao magugu yasipoondolewa shambani yanaweza kupunguza uzalishaji kwa kiwango kikubwa sana, kama ilikuwa upate magunia 20 basi waweza kupata hata magunia saba. Hivyo unaweza ukaona ni kwa kiasi gani uzalishaji unaweza kushuka pasipo kufanya palizi kwa wakati shambani. Shamba ambalo limepaliliwa vizuri bila matumizi ya mbolea ni sawa na shamba lililowekewa mbolea ya kutosha bila palizi kufanyika kwa wakati katika uzalishaji. Hivyo unaweza ukaona matumizi ya mbolea na palizi kwa wakati uongeza tija maradufu katika mavuno au uzalishaji.
 
Hawa wadau wako sahihi... kati ya hizo mbolea DAP na NPK.

DAP ndio mbolea yakupandia, kwanini? Ni kwasababu inamadini ya phosphorus kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na hiyo NPK kwa maana kwamba NPK ina kiwango kidogo sana.

Katika hatua za ukuaji wa mmea mmea huwavirutubisho tofauti tofauti kwa viwango tafauti tofauti kulingana na hatua uliofikia. chukulia mfano kama ukuaji wa binadamu tu akiwa mchanga anapata maziwa ya mama baadae uji, baadae ugali nk, baadae kande...😂 wengine pombe bange alkasus.

Sasa basi Pindi mmea unapoanza kuota huwa unahitaji madini ya phosphorus kwa wingi ili kuimalisha mizizi yake na unakua na afya nzuri, hivyo kiasi kilichopo kwenye NPK hakitatosheleza mahitaji ya mmea kipindi unaanza kuota hivyo DAP inafaa.

Angalizo mbolea inatakiwa uweke kipindi unapanda mbegu... yaani unapanda pamoja na mbolea ila hakikisha mbegu haigusani na mbolea (unatenganisha na udongo).

Mahindi yakifika usawa wa magotini weka mbolea yenye Naitrojeni nyingi.

Mahindi yakifikia hatua ya kuchanua, kabla hayajachanua weka mbolea yenye potashiamu nyingi.
 
👊👊👊
 
Ingawa matumizi ya mbolea bila kupalilia kwa wakati hupunguza tija katika uzalishaji. Matumizi ya mbolea uenda sambamba na palizi. Kwa kuchelewa kupalilia kwa wakati vile virutubisho vyote ulivyoweka shambani vitanyonywa na magugu pia hivyo kupelekea mimea yako kukosa virutubisho vya kutosha. Magugu yanatabia ya kushindana na mimea au mazao katika utafutaji wa rasilimali mwanaga wa jua, maji na virutubisho. Na tafiti zilizofanyika zimeonyesha magugu kuwa na uwezo wa ziada katika ushindani huo. Hivyo mara nyingi magugu hutumia zaidi hizo rasilimali maji mwanga na virutubisho huku mazao yako yakiachwa yamedumaa kwa kukosa rasilamali tajwa hapo juu. Na kitaalamu kuna wakati sahihi wa kufanya palizi kitaalamu tunaita critical period of weed competition. Huu ni wakati ambao magugu yasipoondolewa shambani yanaweza kupunguza uzalishaji kwa kiwango kikubwa sana, kama ilikuwa upate magunia 20 basi waweza kupata hata magunia saba. Hivyo unaweza ukaona ni kwa kiasi gani uzalishaji unaweza kushuka pasipo kufanya palizi kwa wakati shambani. Shamba ambalo limepaliliwa vizuri bila matumizi ya mbolea ni sawa na shamba lililowekewa mbolea ya kutosha bila palizi kufanyika kwa wakati katika uzalishaji. Hivyo unaweza ukaona matumizi ya mbolea na palizi kwa wakati uongeza tija maradufu katika mavuno au uzalishaji.
Miti ya matunda iliyodumaa ikiwa shambani, ambayo inashindwa kukua kwa kasi sawa na mingine naweza kuweka pia mbolea ya kiwandani kuikuza?
 
Bila shida tumia mbolea yenye virutubisho vya nitrogeni kama NPK nk ingawa mmea unaweza kudumaa kwasababu mbalimbali kama magonjwa, wadudu waharibifu, na sifa ya udongo wa eneo husika.
 
Hawa wadau wako sahihi... kati ya hizo mbolea DAP na NPK.

DAP ndio mbolea yakupandia, kwanini? Ni kwasababu inamadini ya phosphorus kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na hiyo NPK kwa maana kwamba NPK ina kiwango kidogo sana.

Katika hatua za ukuaji wa mmea mmea huwavirutubisho tofauti tofauti kwa viwango tafauti tofauti kulingana na hatua uliofikia. chukulia mfano kama ukuaji wa binadamu tu akiwa mchanga anapata maziwa ya mama baadae uji, baadae ugali nk, baadae kande... wengine pombe bange alkasus.

Sasa basi Pindi mmea unapoanza kuota huwa unahitaji madini ya phosphorus kwa wingi ili kuimalisha mizizi yake na unakua na afya nzuri, hivyo kiasi kilichopo kwenye NPK hakitatosheleza mahitaji ya mmea kipindi unaanza kuota hivyo DAP inafaa.

Angalizo mbolea inatakiwa uweke kipindi unapanda mbegu... yaani unapanda pamoja na mbolea ila hakikisha mbegu haigusani na mbolea (unatenganisha na udongo).

Mahindi yakifika usawa wa magotini weka mbolea yenye Naitrojeni nyingi.

Mahindi yakifikia hatua ya kuchanua, kabla hayajachanua weka mbolea yenye potashiamu nyingi.
Sawa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom